Nabii Lema aanzishe Huduma ya Kiroho atakuwa kama Paul Mtume zamani Sauli, huku kwenye Siasa akina Mbowe hawataki kuambiwa KWELI!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa ile Press ya Lema hata hotuba za Mbowe huko BAWACHA na kule kwenye Mkutano mkuu hazinaga maana tena

Nabii Lema amewafungua macho Wengi Kwamba Chadema ina wanachama Wengi Wasiojulikana

Lema nenda Fanya Kazi ile ya Bwana Usiuhesabu muda kama wale Wakulima wa Kwanza waliomuuliza Bwana " Hawa wamefanya Kazi saa ngapi mbona watulipa Sawa"

Mungu wa mbinguni Mvuvie Baraka zako Nabii Lema

Amen 🌹😄
 
Nani amekuambia siasa zina hitaji ukweli sana?utachanganyikiwa mapema sana

Sisi ni Donor country
 
Back
Top Bottom