Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mpaka kesho bado sijamuelewa Nabii Luthu.

Eti binti ZAKE walimlewesha KISHA akawaingilia bila kujua? Inawezekana kweli hiyo?

Evidence says no.

Tendo la ndoa limekaa kisayansi zaidi.

Kisayansi haiwezekani KABISA kwa mwanaume kulewa kiasi cha kuto jitambua halafu at the same time mwanaume huyo huyo akaweza kufanya tendo la ndoa. Haiwezekani.

Mechanism ya erection kwa mwanaume inasema kwamba ILI mwanaume aweze kusimamisha uume na kufanya tendo la ndoa ni lazima awe na utimamu wa kiakili kwa sababu tendo la ndoa linaanzia akilini. The most sensitive sexual organ of a man is his brain.

ILI mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa KWANZA lazima apate wazo then akisha pata wazo mishipa ya fahamu katika ubongo inatoa signal kwenye spinal cords, then spinal cords zinapeleka ishara kwenye artery then artery zinafunguka damu ina flow kwenda kwenye misuli ya uume then mwanaume ana erect.

Mwanaume aliye lewa chapachapa kiasi cha kuto jitambua. Kiasi cha kuto watambua binti ZAKE hawezi kufanya tendo la ndoa kwa sababu za kisayansi nilizo zieleza hapo juu.

HATA KULE ROMBO WANAUME WALIKUWA WANASHINDWA KUWAINGILIA WAKE ZAO KWA SABABU YA ULEVI. MWANAUME ANATOKA BAR AMELEWA CHAPACHAPA AKILI IMECHOKA AKIFIKA NYUMBANI ANA ANGUSHA GARI. WANAWAKE WAKIROMBO WAKAWA WANAENDA KENYA KULIWA

So excuse ya Luthu is a very poor excuse.

Inaonekana ni kama Luthu alikuwa anawatamani binti ZAKE toka kitambo na hiyo ishu ya ulevi imewekwa kama excuse.

Unless otherwise waseme alivutishwa bangi au alilishwa mkuyati wa Nguvu za kiume LAKINI useme alilewa kiasi cha kutojitambua KISHA kulala na binti ZAKE Hell No!! Mwanaume aliye fikia hatua hiyo ya ulevi labda anaweza kulawitiwa yeye na sio yeye kumuingilia mwanamke.

So Luthu ana kesi ya kujibu..

Siku ya KWANZA alileweshwa akala tunda la binti yake na kesho yake tena akaleweshwa akala tunda la binti yake mwingine wakapata mimba, mimba zikalelewa hadi kupata watoto hell no!!!

KINGINE

Ni wadada wangapi wanaweza kuwa na ujasiri wa kuwalewesha baba zao ILI wafanye nao zinaa? Hata Amber Ruthy hawezi fanya uchafu huo.

Hii ina maanisha nini? Luthu failed as a father. Watoto wake aliwalea malezi ya hovyo hovyo.

Umewahi kujiuliza hivi mabinti wa Nabii walijifunza wapi KUTENGENEZA pombe ?

Halafu kuna mjinga anaishi Isunga Chupi Tanzania hafanyi chochote anapo tukaniwa tusi la mamayo LAKINI atakuwa wa KWANZA hapa kumtukana mtoa mada kwa sababu eti ame mdhalilisha Nabii wa Mungu. Seriously? Luthu anaweza kweli kuwa Nabii wa Mungu?

Kama Luthu ni Nabii wa Mungu then there is no hope for the future.

Tuleweni tu wakuu
 
Hata kwenye Mwanzo 38 kuna mtu anaitwa Yuda alitafuna mkwe wake akidhani ni kahaba. Nimejiuliza sana hadi enzi hizo kuna watu walikuwa wanaenda kununua makahaba? Basi hakuna jipya chini ya jua. Dhambi zote ni marudio tu. Yuda alimhonga mkwe wake mbuzi akidhani ni kahaba.
 
Bora aliye tafuna mkwe wake.. Bora defense ya Yuda. Alidhani mkwewe ni kahaba.

Hii defense ya Luthu haimake sense hata kidogo
 
Mpaka kesho bado sijamuelewa Nabii Luthu.

Eti binti ZAKE walimlewesha KISHA akawaingilia bila kujua? Inawezekana kweli hiyo?

Evidence says no.

Tendo la ndoa limekaa kisayansi zaidi.

Kisayansi haiwezekani KABISA kwa mwanaume kulewa kiasi cha kuto jitambua halafu at the same time mwanaume huyo huyo akaweza kufanya tendo la ndoa. Haiwezekani.

Mechanism ya erection kwa mwanaume inasema kwamba ILI mwanaume aweze kusimamisha uume na kufanya tendo la ndoa ni lazima awe na utimamu wa kiakili kwa sababu tendo la ndoa linaanzia akilini. The most sensitive sexual organ of a man is his brain.

ILI mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa KWANZA lazima apate wazo then akisha pata wazo mishipa ya fahamu katika ubongo inatoa signal kwenye spinal cords, then spinal cords zinapeleka ishara kwenye artery then artery zinafunguka damu ina flow kwenda kwenye misuli ya uume then mwanaume ana erect.

Mwanaume aliye lewa chapachapa kiasi cha kuto jitambua. Kiasi cha kuto watambua binti ZAKE hawezi kufanya tendo la ndoa kwa sababu za kisayansi nilizo zieleza hapo juu.

HATA KULE ROMBO WANAUME WALIKUWA WANASHINDWA KUWAINGILIA WAKE ZAO KWA SABABU YA ULEVI. MWANAUME ANATOKA BAR AMELEWA CHAPACHAPA AKILI IMECHOKA AKIFIKA NYUMBANI ANA ANGUSHA GARI. WANAWAKE WAKIROMBO WAKAWA WANAENDA KENYA KULIWA

So excuse ya Luthu is a very poor excuse.

Inaonekana ni kama Luthu alikuwa anawatamani binti ZAKE toka kitambo na hiyo ishu ya ulevi imewekwa kama excuse.

Unless otherwise waseme alivutishwa bangi au alilishwa mkuyati wa Nguvu za kiume LAKINI useme alilewa kiasi cha kutojitambua KISHA kulala na binti ZAKE Hell No!! Mwanaume aliye fikia hatua hiyo ya ulevi labda anaweza kulawitiwa yeye na sio yeye kumuingilia mwanamke.

So Luthu ana kesi ya kujibu..

Siku ya KWANZA alileweshwa akala tunda la binti yake na kesho yake tena akaleweshwa akala tunda la binti yake mwingine wakapata mimba, mimba zikalelewa hadi kupata watoto hell no!!!

KINGINE

Ni wadada wangapi wanaweza kuwa na ujasiri wa kuwalewesha baba zao ILI wafanye nao zinaa? Hata Amber Ruthy hawezi fanya uchafu huo.

Hii ina maanisha nini? Luthu failed as a father. Watoto wake aliwalea malezi ya hovyo hovyo.

Umewahi kujiuliza hivi mabinti wa Nabii walijifunza wapi KUTENGENEZA pombe ?

Halafu kuna mjinga anaishi Isunga Chupi Tanzania hafanyi chochote anapo tukaniwa tusi la mamayo LAKINI atakuwa wa KWANZA hapa kumtukana mtoa mada kwa sababu eti ame mdhalilisha Nabii wa Mungu. Seriously? Luthu anaweza kweli kuwa Nabii wa Mungu?

Kama Luthu ni Nabii wa Mungu then there is no hope for the future.

Tuleweni tu wakuu
Babu kiukweli hakuna kitu kama hicho ,,huu ni uongo wa kiwango sana ,,yaani Baba analala na watoto wake mpka kuwapa mimba ,,Mimi sina imani kihivyo ila hata nikilewa na nikachukua demu hua najielewa,,

Iweje kwa Luth mtu mwenye imani yake alishindwa kujizuia ,na Mungu aliwezaje kumwacha bila kumtetea juu ya uovu ule,leo utatuaminisha nini
 
Labda tatizo lipo kwa aina ya mvinyo wenyewe, tungeijua kwanza. Pengine inakata mawasiliano ya kichwa inaachia nyaya 2 tu za kupeleka huku chini.
Ila hizi pombe ninazozijua mimi kuanzia gongo mpaka bia hapana aisee! Ukipoteza network hugongi mpaka asubuhi kukuche.
 
Hata Bwana Yesu alizaliwa bila baba na sayansi inakataa pia... Mambo ya MUNGU Ni ya MUNGU na ya sayansi Ni ya sayansi.... Ukifanya comparison utachanganyikiwa bure!!!! Ni hayo tu
 
Nadhani angeanza kukubishia kwa ulichokiandika ndiyo uzi wake ungefuata.😂😂😂😂
 
Nakazia
 
Mkuu wewe ni kichaa kabisa. Unawezaje kumlinganisha Yesu na Lutu.

Yesu na Lutu ni vitu viwili tofauti mkuu.

Lutu alikuwa muhuni. Hakuwa mwenye haki.

Ni Lutu huyu huyu kabla ya kulala na binti zake aliwatoa binti zake wapigwe mtungo na wahuni kule mjini Sodoma...

Ndio maana Mungu alitaka kuiangamiza Sodoma yote sema Ibrahim alimsihi Mungu asiiangamize Sodoma yote ili kumuokoa ndugu yake Lutu.

Lakini Mungu alijua Lutu hakuwa mwenye haki na alistahili kupigwa kiberiti pamoja na wanasodoma.

Lutu kufanya laana ya kulala na binti zake ni Mungu alikuwa anamfunua Lutu kwa Ibrahim kwamba huyu bwana sio mtu mzuri...

Kuzaliwa kwa Yesu = An act of God himself.

Lutu kulala na binti zake = an act of a human being.

Two different things
 
Labda tatizo lipo kwa aina ya mvinyo wenyewe, tungeijua kwanza. Pengine inakata mawasiliano ya kichwa inaachia nyaya 2 tu za kupeleka huku chini.
Ila hizi pombe ninazozijua mimi kuanzia gongo mpaka bia hapana aisee! Ukipoteza network hugongi mpaka asubuhi kukuche.
😂😂😂😂 Lutu alikuwa na lake jambo
 
Mkuu wewe ni kichaa kabisa. Unawezaje kumlinganisha Yesu na Lutu.

Yesu na Lutu ni vitu viwili tofauti mkuu.

Lutu alikuwa muhuni. Hakuwa mwenye haki.

Ni Lutu huyu huyu kabla ya kulala na binti zake aliwatoa binti zake wapigwe mtungo na wahuni kule mjini Sodoma...

Ndio maana Mungu alitaka kuiangamiza Sodoma yote sema Ibrahim alimsihi Mungu asiiangamize Sodoma yote ili kumuokoa ndugu yake Lutu.

Lakini Mungu alijua Lutu hakuwa mwenye haki na alistahili kupigwa kiberiti pamoja na wanasodoma.

Lutu kufanya laana ya kulala na binti zake ni Mungu alikuwa anamfunua Lutu kwa Ibrahim kwamba huyu bwana sio mtu mzuri...

Kuzaliwa kwa Yesu = An act of God himself.

Lutu kulala na binti zake = an act of a human being.

Two different things
Yanini kuntusi?? Umeleta sayanasi na dini nmekufungua uelewa kua usichanganye ya MUNGU na sayansi kwakua kimoja kinampinga mwenzake hutaki kuelewa.... Umeleta hoja nimekujibu kwa hoja
 
Nadhani angeanza kukubishia kwa ulichokiandika ndiyo uzi wake ungefuata.😂😂😂😂
Hakika mkuu nadhani nmemjibu kisawasawa asipoelewa atakua hataki kuelewa tu... All in all science na MUNGU JEHOVA haviwezi kua sawa co kimoja kinampinga mwenziake
 
Yanini kuntusi?? Umeleta sayanasi na dini nmekufungua uelewa kua usichanganye ya MUNGU na sayansi kwakua kimoja kinampinga mwenzake hutaki kuelewa.... Umeleta hoja nimekujibu kwa hoja

Yanini kuntusi?? Umeleta sayanasi na dini nmekufungua uelewa kua usichanganye ya MUNGU na sayansi kwakua kimoja kinampinga mwenzake hutaki kuelewa.... Umeleta hoja nimekujibu kwa hoja
Mfano wako hauendani
 
Haya walev mkuje hapa mujenge hoja ni kwel ama la!!!
 
Back
Top Bottom