Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

Mpaka kesho bado sijamuelewa Nabii Luthu.

Eti binti ZAKE walimlewesha KISHA akawaingilia bila kujua? Inawezekana kweli hiyo?

Evidence says no.

Tendo la ndoa limekaa kisayansi zaidi.

Kisayansi haiwezekani KABISA kwa mwanaume kulewa kiasi cha kuto jitambua halafu at the same time mwanaume huyo huyo akaweza kufanya tendo la ndoa. Haiwezekani.

Mechanism ya erection kwa mwanaume inasema kwamba ILI mwanaume aweze kusimamisha uume na kufanya tendo la ndoa ni lazima awe na utimamu wa kiakili kwa sababu tendo la ndoa linaanzia akilini. The most sensitive sexual organ of a man is his brain.

ILI mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa KWANZA lazima apate wazo then akisha pata wazo mishipa ya fahamu katika ubongo inatoa signal kwenye spinal cords, then spinal cords zinapeleka ishara kwenye artery then artery zinafunguka damu ina flow kwenda kwenye misuli ya uume then mwanaume ana erect.

Mwanaume aliye lewa chapachapa kiasi cha kuto jitambua. Kiasi cha kuto watambua binti ZAKE hawezi kufanya tendo la ndoa kwa sababu za kisayansi nilizo zieleza hapo juu.

HATA KULE ROMBO WANAUME WALIKUWA WANASHINDWA KUWAINGILIA WAKE ZAO KWA SABABU YA ULEVI. MWANAUME ANATOKA BAR AMELEWA CHAPACHAPA AKILI IMECHOKA AKIFIKA NYUMBANI ANA ANGUSHA GARI. WANAWAKE WAKIROMBO WAKAWA WANAENDA KENYA KULIWA

So excuse ya Luthu is a very poor excuse.

Inaonekana ni kama Luthu alikuwa anawatamani binti ZAKE toka kitambo na hiyo ishu ya ulevi imewekwa kama excuse.

Unless otherwise waseme alivutishwa bangi au alilishwa mkuyati wa Nguvu za kiume LAKINI useme alilewa kiasi cha kutojitambua KISHA kulala na binti ZAKE Hell No!! Mwanaume aliye fikia hatua hiyo ya ulevi labda anaweza kulawitiwa yeye na sio yeye kumuingilia mwanamke.

So Luthu ana kesi ya kujibu..

Siku ya KWANZA alileweshwa akala tunda la binti yake na kesho yake tena akaleweshwa akala tunda la binti yake mwingine wakapata mimba, mimba zikalelewa hadi kupata watoto hell no!!!

KINGINE

Ni wadada wangapi wanaweza kuwa na ujasiri wa kuwalewesha baba zao ILI wafanye nao zinaa? Hata Amber Ruthy hawezi fanya uchafu huo.

Hii ina maanisha nini? Luthu failed as a father. Watoto wake aliwalea malezi ya hovyo hovyo.

Umewahi kujiuliza hivi mabinti wa Nabii walijifunza wapi KUTENGENEZA pombe ?

Halafu kuna mjinga anaishi Isunga Chupi Tanzania hafanyi chochote anapo tukaniwa tusi la mamayo LAKINI atakuwa wa KWANZA hapa kumtukana mtoa mada kwa sababu eti ame mdhalilisha Nabii wa Mungu. Seriously? Luthu anaweza kweli kuwa Nabii wa Mungu?

Kama Luthu ni Nabii wa Mungu then there is no hope for the future.

Tuleweni tu wakuu
Umekufuru. Umekufuru. Umekufuru ngoja na wewe uwe mwamba geu. Unaibishia miujiza ya walevi
 
Hatupingani na Neno la Mungu,

Mwanzo 19 : 31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

33 Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

34 Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

35 Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

36 Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.

37 Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

38 Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.

.. Tuseme tu kuwa Mungu pia aliruhusu.

..... nyongeza, wanaume wa miaka ile walikuwa na nguvu, mashine ni moto moto kama Mbappe 🤣🤣
 
Wewe unaweza kumlewesha baba ako pombe ili ulale nae? Jibu ni hauwezi. Kama wewe hauwezi how comes watoto wa Nabii wafanye uchafu kama huo?

Kwanini wasinge mwambia Lutu aongee na binamu yake Ibrahim watafutiwe waume?

Kumbuka kuwa ni Lutu huyu huyu aliwatoa binti zake wawe gang raped na kundi la wahuni wa Sodoma.

I smell a fish.

Lutu alikuwa anawatamani binti zake period.
 
Usijipe shida kubishana. God was there.

Kujiuuliza tu ni kwanini Mungu aliruhusu hiyo dhambi.
 
Kumbukeni Mungu hachunguzwi wazee. [emoji3]

Huko kwenye Biblia kuna mtu aliambiwa alale na mke wa kaka yake ili amwongezee uzao, jamaa alimwaga chini. Mungu alilaani hicho kitendo. [emoji3]

Sijui ni kitabu kipi. Wataalam njooni
 
Back
Top Bottom