Nabii Luthu pita huku ( Dulla Makabila Remix )

Umekufuru. Umekufuru. Umekufuru ngoja na wewe uwe mwamba geu. Unaibishia miujiza ya walevi
 
Hatupingani na Neno la Mungu,

Mwanzo 19 : 31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

33 Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

34 Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

35 Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

36 Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.

37 Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

38 Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.


.. Tuseme tu kuwa Mungu pia aliruhusu.


..... nyongeza, wanaume wa miaka ile walikuwa na nguvu, mashine ni moto moto kama Mbappe 🀣🀣
 
Wewe unaweza kumlewesha baba ako pombe ili ulale nae? Jibu ni hauwezi. Kama wewe hauwezi how comes watoto wa Nabii wafanye uchafu kama huo?

Kwanini wasinge mwambia Lutu aongee na binamu yake Ibrahim watafutiwe waume?

Kumbuka kuwa ni Lutu huyu huyu aliwatoa binti zake wawe gang raped na kundi la wahuni wa Sodoma.

I smell a fish.

Lutu alikuwa anawatamani binti zake period.
 
Usijipe shida kubishana. God was there.

Kujiuuliza tu ni kwanini Mungu aliruhusu hiyo dhambi.
 
Kumbukeni Mungu hachunguzwi wazee. [emoji3]

Huko kwenye Biblia kuna mtu aliambiwa alale na mke wa kaka yake ili amwongezee uzao, jamaa alimwaga chini. Mungu alilaani hicho kitendo. [emoji3]

Sijui ni kitabu kipi. Wataalam njooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…