Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa kienyeji, sasa wakati naomba jana sasa nikaona gorofa likiyumba hivi watu wakilia vilio likienda chini na kuzuwa gumzo kubwa sana mtandaoni.
Unabii mwengine Apostle Mtalemwa aliutoa 28 Julai, 2024 Alfajiri kabla ya kuamka niliamshwa na maono yafuatayo naona kuna mjumbe wa shetani ambaye ninamuona anaenda kwenye eneo la Kariakoo tena anaenda kutoa kama kafara ili mambo yao yaende ambayo italeta madhara ya kudai roho za watu wasiopungua 110.
Your browser is not able to display this video.
Prophet Rolinga yeye alizungumzia eneo la roho za umauti zitaanza kufanya kazi mwishoni mwa 2024 hadi kuelekea 2025 na kuwasii waumi wake kuomba sana.
Je, pindi watu hawa wanapotoa tabiri zao mamlaka zinapazwa kufanya chunguzi zao ili kama kuna viashiria hivyo wafanyie kazi? Malaria 2 njoo hapa utie neno
Kwa sababu ukitazama ni hali ambayo ni kweli imetokea na walisema zaidi ya mara moja! Tushuke hapa sasa tuelewane vizuri zaidi upi mtazamo wako?
Shida inakuwa hautajua ni siku gani tukio litatokea na ni jinsi gani ya kujiadhari.....ebu angalia aliongea toka mwezi wa 7 tukio limekuja kutokea mwezi wa 11
Yani ni sawa na mtu awe anaishi porini, Halafu umtabirie kwamba ipo siku atang'atwa na nyoka. Na siku nyoka akimng'ata kweli, uje useme utabiri wako umetimia.
Umetabiri, ila huja specify siku ipi? Tarehe ipi? Mwezi upi? Mwaka upi? Na muda gani exactly tukio la utabiri litatokea.
Ndicho alichofanya huyo mchungaji na utabiri wake uchwara.