an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Hakika utabili maanndaziNdio maana nasema utabiri wa huyo mchungaji, ni utabiri uchwara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika utabili maanndaziNdio maana nasema utabiri wa huyo mchungaji, ni utabiri uchwara.
Natabiri kuna mtu anaibiwa simu kesho hapo kariakoo...Doooooh, tuhuma nzito hizi Mkuu
Kwa nini alitaja kariakoo na siyo mbagala?Ndio maana nasema utabiri wa huyo mchungaji, ni utabiri uchwara.
Wewe na huyo Mutalemwa ni wapumbavu.Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa kienyeji, sasa wakati naomba jana sasa nikaona gorofa likiyumba hivi watu wakilia vilio likienda chini na kuzuwa gumzo kubwa sana mtandaoni.
Unabii mwengine Apostle Mtalemwa aliutoa 28 Julai, 2024 Alfajiri kabla ya kuamka niliamshwa na maono yafuatayo naona kuna mjumbe wa shetani ambaye ninamuona anaenda kwenye eneo la Kariakoo tena anaenda kutoa kama kafara ili mambo yao yaende ambayo italeta madhara ya kudai roho za watu wasiopungua 110.
Prophet Rolinga yeye alizungumzia eneo la roho za umauti zitaanza kufanya kazi mwishoni mwa 2024 hadi kuelekea 2025 na kuwasii waumi wake kuomba sana.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Je, pindi watu hawa wanapotoa tabiri zao mamlaka zinapazwa kufanya chunguzi zao ili kama kuna viashiria hivyo wafanyie kazi? Malaria 2 njoo hapa utie neno
Kwa sababu ukitazama ni hali ambayo ni kweli imetokea na walisema zaidi ya mara moja! Tushuke hapa sasa tuelewane vizuri zaidi upi mtazamo wako?
Kwa sababu alijua ujenzi wa majengo mengi pale Kariakoo, Hauzingatii viwango vya ujenzi vinavyotakiwa.Kwa nini alitaja kariakoo na siyo mbagala?
Wewe ni nabii wa kweli.NATABIRI
2025 Mama anashinda
Wengi hamuelewi elimu ya rohoni, Nitatoa mfano, Mungu alishawahi kusema nitaangamiza ulimwengu, ila alichokifanya alileta mvua kubwa.Kwa sababu alijua ujenzi wa majengo mengi pale Kariakoo, Hauzingatii viwango vya ujenzi vinavyotakiwa.
Hata hapa JF kuna uzi wa miaka kama miwili iliyopita, Una eleza wazi kwamba majengo mengi Kariakoo hayazingatii viwango vya ujenzi.
Kwa hiyo hakuna utabiri hapo.
Ukitaka kumpata Apostle Mtalemwa alietoa unabii juu ya Janga la Kariakoo.Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa kienyeji, sasa wakati naomba jana sasa nikaona gorofa likiyumba hivi watu wakilia vilio likienda chini na kuzuwa gumzo kubwa sana mtandaoni.