Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

Wewe na huyo Mutalemwa ni wapumbavu.
 
Kwa nini alitaja kariakoo na siyo mbagala?
Kwa sababu alijua ujenzi wa majengo mengi pale Kariakoo, Hauzingatii viwango vya ujenzi vinavyotakiwa.

Hata hapa JF kuna uzi wa miaka kama miwili iliyopita, Una eleza wazi kwamba majengo mengi Kariakoo hayazingatii viwango vya ujenzi.

Kwa hiyo hakuna utabiri hapo.
 
Badala ya kutabiri the inevitable wangehakikisha wao kama wapiga Kura wanalazimisha watumishi wao (waliopo serikalini) wanafanya kazi yao.., kwa kufanya hayo wala haya yasingetokea....

By the way huyo anayemtokea na kumwambia next time akimtokea amwambia asipoteze muda kumwambia bali aende kuzuia hayo majanga yasitokee
 
Wengi hamuelewi elimu ya rohoni, Nitatoa mfano, Mungu alishawahi kusema nitaangamiza ulimwengu, ila alichokifanya alileta mvua kubwa.

So katika ulimwengu wa mwili watu wangesema ni mvua tu, ni natural cause lakini rohoni ni adhabu ya Mungu.

Shetani akiwa na Ajenda yake ili kuiimplement anatafuta loophole. Inaweza ikawa kweli ni structure failure ya Jengo lakini shetani anaweza akaweka uzito kwa wakaguzi, wenye Jengo ili tu atimize lengo lake - kutoa kafara na nk.,

Ulimwengu wa Roho hutenda kazi na wa mwilini ili kuleta matokeo.

Na kiukweli huu unabii angetoa mzungu au mnaigeria angesikilizwa ila kwa vile akatoa mtanzania watu wanaleta upinzani.

Tembelea Channel yake ya YouTube iitwayo "Apostle Mtalemwa Bushiri" katoa unabii mwingine na yupo kwenye maombi.

Ukitaka kumpata Apostle Mtalemwa alietoa unabii juu ya Janga la Kariakoo.

Mpigie kupitia namba hii.
+255 715 480 722

Ama mtembelee kanisani kwake ECG THE JESUS NATION CHURCH lililoko Makongo Juu Dar es salaam hasa anapatikana siku za J.pili na baada ya ibada uongea na wageni bure bila malipo yoyote
 
Ukitaka kumpata Apostle Mtalemwa alietoa unabii juu ya Janga la Kariakoo.

Mpigie kupitia namba hii.
+255 715 480 722

Ama mtembelee kanisani kwake ECG THE JESUS NATION CHURCH lililoko Makongo Juu Dar es salaam hasa anapatikana siku za J.pili na baada ya ibada uongea na wageni bure bila malipo yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…