mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata biblia angano jipya imekataza kula nguruweMbona huleti maandiko yanayoonesha
Manabii, mitume na Yesu wakiuuzia watu mafuta ,chumvi na keki
Halafu unatumia maandiko ya agano la kale
Sihuwa mnasema limepitwa na wakati
Mnapotumia hayo maandiko mkumbuke , kuwa Agano la kale limekataza na kula nguruwe
Msilitumie tu kwenye kukusanyia sadaka na kutapelia watu
Mawazo yako tu Nabii Iliyasa vipiHebu tuigeuza hii historia mfano mwamposa angekuwa muislamu. Na katika msikiti wake kasababisha watu 20 kufariki kesi yake ingekuwaje na kwenye mtandao watu wangetukana sana dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnapata wapi nguvu ya kudhihaki utukufu wa Mungu kumwita huyu kenge nabii..?Baada ya kutokea vifo zaidi ya watu 15 katika mkanyagano wakati waamini wanaohisiwa ni wa dini ya kikristo wakigombea kwenda kukanyaga mafuta ya upako" huko moshi, mkoani kilimanyaro.
Kutokana na mashinikizo mbalimbali kutoka kwa Wakristo wasiokuwa na Imani kwa maji ya upako na mafuta ya upako, na hata kwa kebehi za dini zingine, kuna uwezekano wa Nabii Mwamposa kufikishwa mahakamani.
Kama atafikishwa mahakamani atakuwa shaihidi na sio mtuhumiwa. Atakuwa mtuhumiwa tu iwapo mafuta hayo yamewadhuru hao waliofariki au kujiruhiwa.
Kwa nini:
Tanzania inaruhusu wanachi wake kuamini kitu chocho ili mradi hawavunji sheria.
kwa hiyo kuamini kukanyaga mafuta sio kosa la walipata shida au sio kosa kwa Nabii Mwamposa.
Pili: Sio kosa la kidini kupaka mafuta.
Hapo kabla kwenye biblia watu na wafalme na manabii walipakwa mafuta ili kuwa na upako wa kufanya majukumu yao waliyopewa na munu pia yalitumika kwa ajili ya uponyaji. kama ninavyonukuu hapa chini.
Mafuta ya kutia, ambayo imetajwa mara 20 katika Maandiko, yalitumiwa katika Agano la Kale kwa kumwaga juu ya kichwa cha Kuhani Mkuu na uzao wake na kuinyunyiza hema na vyombo vyake vya ili kuzifanya kama takatifu na ambazo zimetengwa kwa Bwana (Kutoka 25 : 6; Mambo ya Walawi 8:30; Hesabu 4:16). Mara tatu imeitwa ", mafuta takatifu ya kutia" na Wayahudi walikatazwa kabisa kuitengeneza kwa matumizi binafsi (Kutoka 30: 32-33). Viungo vya mafuta ya kutia hupatikana katika Kutoka 30: 23-24 na vilikuwa na manemane, sinamoni na viungo vingine vya asili. Hakuna dalili kwamba mafuta au viungo hivi vina nguvu yoyote isiyo ya kawaida. Badala yake, ukali wa miongozo ya kuunda mafuta hayo ilikuwa mtihani wa utii wa Waisraeli na maonyesho ya utakatifu kabisa wa Mungu.
Hapo hakuna kosa la kidini/ Ukristo. kwa sababu pia yalitumika
Vifungu vinne tu vya Agano Jipya hurejelea mazoezi ya kupaka mafuta na hakuna hata mmoja wao anayoelezea matumizi yake. Tunaweza kutekeleza hitimisho letu kutoka kwa muktadha. Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".
Haja ya kisheria.
lazima tujiulize nini chanzo cha vifo na majeruhi?
Chanzo ni umati wa watu kugombania kuwahi kukanyaga mafuta ya upako yaliyobarikiwa na nabii Mwamposa,
Ni kama kuwe na mkutano wa siasani na watu wakakanyagana au ni kama watu wakiwa kwenye mpira wa miguu halafu kwa sababu moja au nyingine wakakanyagana.
Sasa nani mwenye kosa?
Mkuu wa Polisi wa Mkoa, (kutokuwajibika ulinzi na usalama)
Mkuu wa polisi wa wilaya,(kutokuwajibika ulinzi na usalama)
Mkuu wa mkoa (awajibike kisiasa).
Nabii Mwamposa na waandaaji wake ni kama mashahidi ili kuthibitisha mashitaka ya hao hapo juu. (g vibali, mandalisi na mkusanyiko mkubwa.)
Viongozi hawa wanatakiwa kuchuliwa hatua za kindhamu na kisheria kwa kutokutimiza majuku yao vizuri.
Hawezi kuja mtu ambaye ni maarufu (Public figue) halafu wakakaa na kubweteka maofisini bila kuchukua taadhali ya mkusanyiko mkubwa wa watu. Hasa mashitaka yao yatanoga iwapo Nabii Mwampsa alikuwa na kibali cha Mkutano.
huu ndiyo ukweli kwa mtazamo wangu
Hivi mnapata wapi nguvu ya kudhihaki utukufu wa Mungu kumwita huyu kenge nabii..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ni Kenge kwa kiingereza nadhani ni Comodo. Nabii au mtume hakimbii usiku usiku anafanya ibada DSM baada ya ibada tu kukusanya sadaka anamaliza Ibada saa4 anawaambia wafuasi nawai Moshi. Eakati huo hela iko kibindoni Hakuna cha pole au tamko lolote. Kama sio kenge ni nini sasa.Hivi mnapata wapi nguvu ya kudhihaki utukufu wa Mungu kumwita huyu kenge nabii..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuigeuza hii historia mfano mwamposa angekuwa muislamu. Na katika msikiti wake kasababisha watu 20 kufariki kesi yake ingekuwaje na kwenye mtandao watu wangetukana sana dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe na kundi lako mnajua mlivyowageuza wananchi maskini mitaji yenu?na hiyo inasaidia kuwatuliza badala ya kuingia msituni hasira zao wanazimalizia kanisani kwa kukanyaga mafuta ya upako wanatulia na nchi inakuwa na amani
Naomba uyafikirie haya nitakayo yasema hapa. muandaaji wa mkutano ni nani? aliyeanzisha swala la kumwaga mafuta ni nani, kwanini hakuweza kuandaa utaratibu wa kuyakanyaga hayo mafuta, kulikuwa na ulazima gani yeye kuondoka huku akijua kuna tatizo nyuma yake, Nani mhusika zaidi kwenye huo mkutano. Swali la ziada: Kama Mwamposa kweli anaungumza na mUngu muda wote na mafuta yana upako wa Mungu, kwanini Mungu hakuweza kumuonyesha vifo hivyo na kumkataza asifanye mkutano maana Mungu haitaji kafara ya binadamu; Kwanini Mungu hakumpa maelekezo na utaratibu wa kukanyaga mafuta pasitokee maafa.Kama atafikishwa mahakamani atakuwa shaihidi na sio mtuhumiwa. Atakuwa mtuhumiwa tu iwapo mafuta hayo yamewadhuru hao waliofariki au kujiruhiwa
Mchungaji kakosa busara ya kuweka utaratibu wa kila anayetaka hayo mafuta aende akiwa katika mstari. Ns sijui yalikuwa na wingi wa kutosha watu wote au ni usanii?Baada ya kutokea vifo zaidi ya watu 15 katika mkanyagano wakati waamini wanaohisiwa ni wa dini ya kikristo wakigombea kwenda kukanyaga mafuta ya upako" huko moshi, mkoani kilimanyaro.
Kutokana na mashinikizo mbalimbali kutoka kwa Wakristo wasiokuwa na Imani kwa maji ya upako na mafuta ya upako, na hata kwa kebehi za dini zingine, kuna uwezekano wa Nabii Mwamposa kufikishwa mahakamani.
Kama atafikishwa mahakamani atakuwa shaihidi na sio mtuhumiwa. Atakuwa mtuhumiwa tu iwapo mafuta hayo yamewadhuru hao waliofariki au kujiruhiwa.
Kwa nini:
Tanzania inaruhusu wanachi wake kuamini kitu chocho ili mradi hawavunji sheria.
kwa hiyo kuamini kukanyaga mafuta sio kosa la walipata shida au sio kosa kwa Nabii Mwamposa.
Pili: Sio kosa la kidini kupaka mafuta.
Hapo kabla kwenye biblia watu na wafalme na manabii walipakwa mafuta ili kuwa na upako wa kufanya majukumu yao waliyopewa na munu pia yalitumika kwa ajili ya uponyaji. kama ninavyonukuu hapa chini.
Mafuta ya kutia, ambayo imetajwa mara 20 katika Maandiko, yalitumiwa katika Agano la Kale kwa kumwaga juu ya kichwa cha Kuhani Mkuu na uzao wake na kuinyunyiza hema na vyombo vyake vya ili kuzifanya kama takatifu na ambazo zimetengwa kwa Bwana (Kutoka 25 : 6; Mambo ya Walawi 8:30; Hesabu 4:16). Mara tatu imeitwa ", mafuta takatifu ya kutia" na Wayahudi walikatazwa kabisa kuitengeneza kwa matumizi binafsi (Kutoka 30: 32-33). Viungo vya mafuta ya kutia hupatikana katika Kutoka 30: 23-24 na vilikuwa na manemane, sinamoni na viungo vingine vya asili. Hakuna dalili kwamba mafuta au viungo hivi vina nguvu yoyote isiyo ya kawaida. Badala yake, ukali wa miongozo ya kuunda mafuta hayo ilikuwa mtihani wa utii wa Waisraeli na maonyesho ya utakatifu kabisa wa Mungu.
Hapo hakuna kosa la kidini/ Ukristo. kwa sababu pia yalitumika
Vifungu vinne tu vya Agano Jipya hurejelea mazoezi ya kupaka mafuta na hakuna hata mmoja wao anayoelezea matumizi yake. Tunaweza kutekeleza hitimisho letu kutoka kwa muktadha. Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".
Haja ya kisheria.
lazima tujiulize nini chanzo cha vifo na majeruhi?
Chanzo ni umati wa watu kugombania kuwahi kukanyaga mafuta ya upako yaliyobarikiwa na nabii Mwamposa,
Ni kama kuwe na mkutano wa siasani na watu wakakanyagana au ni kama watu wakiwa kwenye mpira wa miguu halafu kwa sababu moja au nyingine wakakanyagana.
Sasa nani mwenye kosa?
Mkuu wa Polisi wa Mkoa, (kutokuwajibika ulinzi na usalama)
Mkuu wa polisi wa wilaya,(kutokuwajibika ulinzi na usalama)
Mkuu wa mkoa (awajibike kisiasa).
Nabii Mwamposa na waandaaji wake ni kama mashahidi ili kuthibitisha mashitaka ya hao hapo juu. (g vibali, mandalisi na mkusanyiko mkubwa.)
Viongozi hawa wanatakiwa kuchuliwa hatua za kindhamu na kisheria kwa kutokutimiza majuku yao vizuri.
Hawezi kuja mtu ambaye ni maarufu (Public figue) halafu wakakaa na kubweteka maofisini bila kuchukua taadhali ya mkusanyiko mkubwa wa watu. Hasa mashitaka yao yatanoga iwapo Nabii Mwampsa alikuwa na kibali cha Mkutano.
huu ndiyo ukweli kwa mtazamo wangu
Maandiko hayajasema tukanyage, kunyunyiza au kupaka, nasahihishaBaada ya kutokea vifo zaidi ya watu 15 katika mkanyagano wakati waamini wanaohisiwa ni wa dini ya kikristo wakigombea kwenda kukanyaga mafuta ya upako" huko moshi, mkoani kilimanyaro.

ilitakiwa naye awe analinda watu wake sio kuhubiri tu, ameshindwa kulinda amani ya wateja wakeKaka watu wanashida sana, ajira hakuna, pesa hakuna, uchumi mbovu, mabo hayaendi, watu wanasoma wanabaki wanastafu wakiwa nyumbani.
Wanatafuta njia mbadala kiroho (spiritual.)
kwanini uue 20 kwa mpigo, wakati umetangaza huduma ya uponyaji?? hapo inamaana hawezi kulinda wateja wake awapo nao??Mkuu kipindi kile watu wanapiga kikombe cha babu yale maji yalithibitishwa kisayansi au kiimani?
Sent using Jamii Forums mobile app