Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Hapo mwishoni ulipoandika jina la Yeah naamini ulitaka kuandika Yesu,edit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii anatoa chupi za upako ambazo zinasaidia Kama mume hatulii, una ugumba etc. Chupi ni za Holland Wax na unaweza jipatia kwa kadiri utakavyo.
Bei ya kila moja ni laki unusu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutasikia mengi ndio Mana nimechagua uislam ndio dini yangu
 
uliza wakubwa wakwambie
Kitu ambacho huwezi kuthibitisha kinaitwa ni porojo.Hizo ni porojo tu.Wazungu wanasonga mbele sisi tunabakia nyuma kuamini vitu ambavyo havipo.

Hii ndiyo tofauti kati ya mzungu na limtu jeusi.Limtu jeusi linaamini katika damu ya Yesu lakini likipata ajali linamkana Yesu na linawahi hospitalini kwenda kufanya xray ambayo ni zao la akili.Limtu jeusi ni mbumbumbu.
 
sasa yesu ameingiaje hapo kwenye porojo zetu mkubwaa?
 
sasa yesu ameingiaje hapo kwenye porojo zetu mkubwaa?
Kwani huu uzi unahusu nini?!Huu uzi si unahusu manabii?Sasa unawezaje kutenganisha manabii/unabii na Yesu?!Anyway,mimi simpingi tu Yesu wa kikristo ila napinga dini zote kwa ujumla wake kuwa ni porojo tu wala hazina msaada wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…