Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Inaonekana unajua maisha ya watu kuliko wanavyojijua.
Tunatofautiana akili na jinsi yakutambua mambo,kuna vitu hua viko wazi na vinaonekana tu kama utasoma kwa umakini na kuanalyze,Naona umeamua kuja kunijibu kwa ID yako nyingine!
 
Tunatofautiana akili na jinsi yakutambua mambo,kuna vitu hua viko wazi na vinaonekana tu kama utasoma kwa umakini na kuanalyze,Naona umeamua kuja kunijibu kwa ID yako nyingine!
Tatizo lako linalokusumbua ni moja tu. Una kimbelembele sana.
Yeye kasema alimsindikiza rafiki yake na wewe unasema ni yeye ulikuwepo?, unasema biashara ya nyoka ni geresha tu mbona sio mara yake ya kwanza kuandika kuhusu hao nyoka?
Punguza kimbelembele kama mke wa balozi.
 
Naona povu linakutoka kama Nyoka,vp ukweli umekuchoma kama pasi sio? mimi na wewe nani mwenye kimbelembele? muhusika kashindwa kujibu ila wewe umewashwa ukaamua kuja kuutoa upupu wako hapa! Halafu usinipangie cha kucomment,JF is an open forums,ficha ujinga wako kwa kukaa kimya.
 
Ha ha ha ha muhusika amekaa kimya? Comment iliyotoka si umesema mimi ndio mtoa mada nimekuja na ID nyingine? Unaona usivyojielewa sasa? Sasa hivi nimekuwa sio mtoa mada tena?
Wewe acha tu kimbelembele kama tai. Basi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi nilijua tu ni utani, kumbe haya mambo yapo in real life, kwa nini usimshauri rafiki yalo amwamini Mungu, hiyo chupi ya upako ina tofauti gani na hirizi
 
Ha ha ha ha muhusika amekaa kimya? Comment iliyotoka si umesema mimi ndio mtoa mada nimekuja na ID nyingine? Unaona usivyojielewa sasa? Sasa hivi nimekuwa sio mtoa mada tena?
Wewe acha tu kimbelembele kama tai. Basi.
Acha kuniletea stress za maisha yako hapa wewe,endelea tu kupambana,au unajipendekeza? mimi sio wale wanaobabaika na hivyo vi Avatar fake,jaribu kuficha ukilaza wako,unaonekana hata IQ yako iko below normal,ndio maana unahangaika ulitaka ni comment kitakachokufurahisha wewe,wazazi wako wana hasara kubwa sana,unaonekana ni kamtu kenye mdomo mchafu na unapenda kurukia rukia kila jambo.
 
Nakuandikia vimstari viwili unashusha gazeti, kwa namna imekuchoma kama pasi.
Acha tu kimbelembele hamna namna.
 
Nakuandikia vimstari viwili unashusha gazeti, kwa namna imekuchoma kama pasi.
Acha tu kimbelembele hamna namna.
Kaa pembeni we kiazi, acha kujipendekeza,nimekureject,jaribu kwa wengine,siku nyingine acha kushobokea watu,unadhani kila mtu anashoboka na hivyo vi avatar fake? Pita kule kiazi wewe.
 
Jamani...Chupi laki nanusu..Hawa manabii wamewafanya Nini nyie watu wapenda kirsto?

Nawahurumia Sana..
 
Kwaiyo.kwenda hospital Ni kumkana yesu?..[emoji16][emoji16][emoji16]...wakiristu jamani
 
Kwaiyo.kwenda hospital Ni kumkana yesu?..[emoji16][emoji16][emoji16]...wakiristu jamani
Wapi nimesema kuwa mimi ni Mkristo?Nimetumia mfano wa Yesu kwa sababu hii mada inahusu mambo ya unabii ila dini zote ni porojo tu!Sasa unaamini na kuwekeza nguvu nyingi katika kitu ambacho hakikusaidii ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…