Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Wapi nimesema kuwa mimi ni Mkristo?Nimetumia mfano wa Yesu kwa sababu hii mada inahusu mambo ya unabii ila dini zote ni porojo tu!Sasa unaamini na kuwekeza nguvu nyingi katika kitu ambacho hakikusaidii ili iweje?
Wewe unaamini katika Nini?
 
Kmmzenu waafrika bado bado sana. Wakati mwingine mpaka unawaza hawa jamaa walikuwa na haki ya kutufanya watumwa, sasa ni ungese gani huu ??? Eti nabii na kuuza chupi ya upako
 
Kweli kabisa Mkuu..watu hawataki kusoma neno..wanataka kutafsiriwa neno
Tena sio kutafsiriwa, kusimuliwa. Wanaomtafuta Yeah wanaenda kanisani na Biblia, notebook, na peni. Wanaosaka miujiza wanaenda kanisani na hela za kununua chumvi, mafuta, maji, chupi etc
 
Tena sio kutafsiriwa, kusimuliwa. Wanaomtafuta Yeah wanaenda kanisani na Biblia, notebook, na peni. Wanaosaka miujiza wanaenda kanisani na hela za kununua chumvi, mafuta, maji, chupi etc
..Mambo ya ajabu kabisa..Mimi naamini Sana katika kujiombeaa japo kuombewa pia Sio mbaya
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya nabii na mganga? Mana mm naona manabii wengi wamekuwa waganga now days unawezaje kumpa chupi muumini aisee hizi deni za kishetani ni hatar sana ni bora kwenda kwa mganga kabisa
 
Shamba la Nyoka ni geresha tu,mwenye tatizo na mumewe ni wewe wala sio eti ulimsindikiza rafiki,sema tu umemshtukia huyo Nabii na hapa unataka kuona tutasemaje,ila nabii kishapita na vihela vyako,umechelewa sana kuamka.
Sasa shamba la nyoka ni geresha kivio
Kmmzenu waafrika bado bado sana. Wakati mwingine mpaka unawaza hawa jamaa walikuwa na haki ya kutufanya watumwa, sasa ni ungese gani huu ??? Eti nabii na kuuza chupi ya upako
Matusi yakurejee Mara milioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…