Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Hivi kuna tofauti gani kati ya nabii na mganga? Mana mm naona manabii wengi wamekuwa waganga now days unawezaje kumpa chupi muumini aisee hizi deni za kishetani ni hatar sana ni bora kwenda kwa mganga kabisa
Hao manabii wanakesha kwa waganga kutafuta Nguvu za kuwashika Watu vichwa...Kisha wakadondoka
 
Wajinga ndio waliwao.
 
Duhh
 
Wanawake mna changamoto sana maishani. I see why manabii wanawala kiurahisi kama hamna akili vile. Mwingira na mwenziye Gwajima hapa wanacheka tu.
 
Tunaambiwa

Mitano Tena! Kmmmk, awamu ijayo wote tutakuwa vigagula
 
Lakini hizi chupi za upako ni nzuri,,kuna msichana mmoja alibarikiwa na mchungaji chupi hizo,,saa hizi mambo

yako yako vizuri,,mmewe kamnunulia tako la nyani,new model
We nabii weweeeπŸ˜‚πŸ˜‚ acha hizooo
 
Wanawake mna changamoto sana maishani. I see why manabii wanawala kiurahisi kama hamna akili vile. Mwingira na mwenziye Gwajima hapa wanacheka tu.
Wazinzi waliobobea hao
 
Wazinzi waliobobea hao
Unasema wazinzi wakati waumini wao vipofu na viziwi wanawaita manabii? Binadamu kwa kweli tunatofautiana akili, yaani mtu kabisa unakubali kuchezewa akili na wasanii kama hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…