Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako.
Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani kwa injili ya Yesu Kristo wa Nazareth.
Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani kwa injili ya Yesu Kristo wa Nazareth.