Nabii nakushauri acha kugawa passport size kwa wake za watu, utaingia dhambini

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
NABII
Kwako Nabii, jana niliitwa ubungo nikahisi ni kikao cha amani

Kufika nikakuta rafiki yangu kafyumu hatari. Kuuliza nini shida akanisikitisha sana. Hapo nyuma aliwahi kuniambia mkewe anasumbuliwa sana na msg anaitwa aende kuombewa nabii saa 12 kisa kamuota kuna wanawake wawili wanamloga. Nikachukulia kawaida.

Sasa jana mzee akaashika pochi ya mkewe achukue kitu akakuta passport size ya huyu nabii wa Buza

Ushauri Mh nabii vizuri kubadilika gawa maji mchanga chumvi uji ila kugawa picha yako kwa mke watu uachee kabisaa

Hujui madhara ya kuvunja ndoa za watu...huyu mdada ana watoto wanne.. Leo wanaachana utatunza wewee??

watoto wanaingia mtaani wanajiuza wakifa unajua hasara yake

ushauri tu endeleen kuuza maji mchanga mafuta nk haya ya kugawa pptsize zako hii ni kumtamanisha mke wa mtu.

hakuna upako kwenye ppt size hata mara moja.

Sikunjema
 
Ndugu acha lawama, MKANYE MKEO.

Vijana mnaoa wanawake ambao hamuwezi kuwaongoza. kisha mnakuja kuwalaumu manabii bila sababu yeyote.

Misingi ya kiimani kwenye familia inapaswa kuwekwa na Mwanaume. Ukishindwa kusimamia hilo, acha manabii wale tu Mkeo.

Be a Man.
 
Mzee uliadimika sana na uandishi wako kama upo kwenye Bodaboda
 
Ila hii dunia ya leo hii, eti Nabii

Huo "Unabii" au "Utume" kakupa nani?

Umelala, umeamka umepiga nyeto, umeenda kula maharagwe yako kibandaumiza unafungua kikanisa cha mabati unapata wafuasi unawapiga sadaka unakodi jengo au wajenga la kwako unajiproclaim "Nabii", "Mtume"

Mk^ndu wako, maviiii.

Afu mijitu na akili zao kabisa zinawafuata na kuwapa sadaka hawa manabii wa mchongo wanaoibuka kila siku, sijui mwamposa, gwajima, mzee wa upako, sijui malisa, hizi sadaka bora tulewee pombe
 
Ndugu acha lawama, MKANYE MKEO.

Vijana mnaoa Wanawake ambao hamuwezi kuwaongoza. kisha mnakuja kuwalaumu manabii bila sababu yeyote.

Be a Man.
Wanawake wakishatekwa na manabii, huwezi kuwaeleza lofote, tena hasa hao manabii wa Buza, Nyantira, wamevunja ndoa nyingi sana, wanawake wanakuwa kama mazombie, hata waelezwe nini hawakubalo, mwisho wa siku ili kulinda ndoa mume anaamua kuwa Mpole tu, hizi changamoto za manabii ni shida, inabidi serikali ipitie upya usajili wa hao manabii, la sivyo watu wataanza kujichukulia sheria mkononi Ni maoni yangu.
 
πŸ˜„ Mtoa mada ukitaka kuandika uzi uwe unashuka kwenye bodaboda kwanza.
 
Kwa guru kumpa disciple picha ni jambo la kawaida katika dini.
Kuna kitu kinaitwa Guru Puja.
Of course,mambo yanaweza kuruhusiwa katika dini lakini yakawa mishsndled or misused.
 
Mzee uliadimika sana na uandishi wako kama upo kwenye Bodaboda
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka hapa na mbeya. Kama yupo kwenye boda boda kumbe katulia kwenye kochi anatype.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka hapa na mbeya. Kama yupo kwenye boda boda kumbe katulia kwenye kochi anatype.
Nipooomkuuu
 
Somavizuri mkewangu hanaujinga wamakanisaa yawahuni tumebatizwa tutafia Lutheran
 
Anaambiwa akihisi shida atazame picha ya nabij

Basi hiyo changamoto itakwisha
Minikisikia mkekakanyaga hayamakanisaujue HILO KANISA LETU NA M NITAKUWA NABIIIII
YEYEMWEKAHAZINA.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…