Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Nabii Rolinga, kupitia mahubiri yake aliyoyatoa ameeleza kuwa Watanzania hawafurahishwi na yanayoendelea nchini, umwagaji wa damu, watu kukamatwa na kufungwa nk bila kujali nani ana haki nani hana.
Amewataka watawala kumaliza tofauti zao na kukaa mezani ili kila mmoja aseme anachotaka.
"Hatufurahishwi kuona watoto wetu wadogo waone taifa linagombana, wanaona kwenye mitandao huyu kafungwa, huyu kawekwa gerezani , huyu anakufa, huyu katupwa porini. Wanaona damu huyu kavaa bandage, zinatengeneza psychological torture kwa watotot wetu walio wadogo" - Nabii Rolinga