Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Tafsi yake ni kuwa hao wote sio watu sahihi kwa chadema, kama ukikatwa unahama chama! Wamchukue hata namba 3
Mtihani ni ile kuamua kurudia uchaguzi, kuna wasi wasi wakimkata yeyote mwingine ataenda ACT atagawa kura za jimbo ccm atapita kiulaini