Uchaguzi 2020 Nabii Shillah: Uchaguzi huu patachimbika. Itapigwa kampeni angani, baharini mpaka nchi kavu

Tafsi yake ni kuwa hao wote sio watu sahihi kwa chadema, kama ukikatwa unahama chama! Wamchukue hata namba 3
Mtihani ni ile kuamua kurudia uchaguzi, kuna wasi wasi wakimkata yeyote mwingine ataenda ACT atagawa kura za jimbo ccm atapita kiulaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…