Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na kucha ni viungo vya binadamu ahojiwe kama alivyokamatwa zumaridi mkikaa kimya na wakati ushahidi hamuisaidii nchi hiii Hawa manabii wataharibu nchi yetu sooni mjumbe hauwawi