Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona jiwe lako likielekea kawe 😆 😆😆Tatizo watu wanapenda short cut,bora mzee wa upako anombea mfumo wa maisha,haya mambo sijui MTU kutapika nyembe no mazingaombwe tulionyeshwa shuleni MTU anatoa maandazi kwenye pumbu yanajaa ndoo nzima
Unakosea kumwita nabii sema nabii wa uongoView attachment 2374898
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na kucha ni viungo vya binadamu ahojiwe kama alivyokamatwa zumaridi mkikaa kimya na wakati ushahidi hamuisaidii nchi hiii Hawa manabii wataharibu nchi yetu sooni mjumbe hauwawi
Hipo siku atatuagiza vuzi huyu jamaa😁😁, nywele na kucha tulizokata week iliyopita bado hazijaota suguye
Lukasi kayavuruga huko alipo sasa ameenda kigoma kupeleka kucha na nywele za masikioni za watu.Shekhe wako amekamatwa lini kwa kufukia mbuzi akiwa hai
USSR
To mind Suguye's business is his (mtoa mada) businessAkamatwe kwa kosa gani?
Umeona mahali hapo kasema atapita kunyoa watu majumbani kwao au kuwakata kucha majumbani mwao?
Imani ni suala la hiyari na utayari wewe usipeleke waache waliolengwa wapeleke just like that mind your own business.
"akili kubwa" anacheza na akili za watuView attachment 2374898
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na kucha ni viungo vya binadamu ahojiwe kama alivyokamatwa zumaridi mkikaa kimya na wakati ushahidi hamuisaidii nchi hiii Hawa manabii wataharibu nchi yetu sooni mjumbe hauwawi
Anawaroga ili wawe mazuzu wasihame kanisa wazidi kutoa sadaka. Zumaridi alionewa maana makanisa mengi ni sawa na zumaridi tu. Ni unafiki wa watanzania na double standardsView attachment 2374898
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole huo ni zaidi ya uchawi na nisawa na kuhitaji viungo vya binadamu Kwa ajili ya maombi, nywele na kucha ni viungo vya binadamu ahojiwe kama alivyokamatwa zumaridi mkikaa kimya na wakati ushahidi hamuisaidii nchi hiii Hawa manabii wataharibu nchi yetu sooni mjumbe hauwawi
Nampeleka mavuzi tuone atayatofautishaje na nyweleView attachment 2374898