Nabii Suguye akamatwe na ahojiwe Kwa kielelezo hiki!

Tatizo watu wanapenda short cut,bora mzee wa upako anaombea mfumo wa maisha,haya mambo sijui MTU kutapika nyembe ni mazingaombwe tulionyeshwa shuleni MTU anatoa maandazi kwenye pumbu yanajaa ndoo nzima
 
Mzee wa mpenyo,
Lakini….kwani amelazimisha mtu kwenda? sheria ipi…ni version ingine ya kukanyaga vya kukanyaga!

Najiuliza tu…kama wewe si muumini wake tatizo liko wapi?
 
Tatizo watu wanapenda short cut,bora mzee wa upako anombea mfumo wa maisha,haya mambo sijui MTU kutapika nyembe no mazingaombwe tulionyeshwa shuleni MTU anatoa maandazi kwenye pumbu yanajaa ndoo nzima
Kama nakuona jiwe lako likielekea kawe πŸ˜† πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Unakosea kumwita nabii sema nabii wa uongo
 
Akamatwe kwa kosa gani?

Umeona mahali hapo kasema atapita kunyoa watu majumbani kwao au kuwakata kucha majumbani mwao?

Imani ni suala la hiyari na utayari wewe usipeleke waache waliolengwa wapeleke just like that mind your own business.
To mind Suguye's business is his (mtoa mada) business
 
"akili kubwa" anacheza na akili za watu
 
Anawaroga ili wawe mazuzu wasihame kanisa wazidi kutoa sadaka. Zumaridi alionewa maana makanisa mengi ni sawa na zumaridi tu. Ni unafiki wa watanzania na double standards
 
Nampeleka mavuzi tuone atayatofautishaje na nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…