Naona nabii alipitia thread yako jana 😂😂Kusema upagani sio sahihi.
Ila kusema sio lazima kufunga ndoa kanisani sio lazima ndio lugha yenye mashiko
Kitu chochote ambacho hakina connection na dini ni cha kipagani mkuu. Kwa kuwa wachungaji na maaskofu ni wapigaji, hawawezi kukuambia hilo.Kusema upagani sio sahihi.
Ila kusema sio lazima kufunga ndoa kanisani sio lazima ndio lugha yenye mashiko
Naona nabii alipitia thread yako jana 😂😂
We jamaa kwa mwaka unasoma vitabu vingapi?Kusema upagani sio sahihi.
Ila kusema sio lazima kufunga ndoa kanisani sio lazima ndio lugha yenye mashiko
Kaka kwa sasa nimekuwa mfuasi wa nyuzi zako wewe ni smart sanaKusema upagani sio sahihi.
Ila kusema sio lazima kufunga ndoa kanisani sio lazima ndio lugha yenye mashiko
Nabii kaongea mambo ya msingi sana. Kama mtu hataki kumsikiliza na kufuata mafundisho, hilo ni tatizo lake binafsi.Uwe hai
Yesu yu hai
Mm ni mfuatiliaji wa mahubiri yake kupitia WRM TV
MM NI MUANGLIKANA, LAKINI HUYU NABII KANIZINDUA MAMBO MENGI SANA.
Kumbe eeh, sikua najua hili,ni best yangu sanaHuyu jamaa tangu azuiliwe kuwa padri kwa vile alizaliwa nje ya ndoa bado ana kinyongo
Mkuu, umemaliza kila kitu. Tusubiri wabishi waje kubisha bila hoja.Mkiishi pamoja ndio ndoa tayari. Hizi ndoa zetu zimekaa kimaonesho tu, kushindana harusi ya nani ilipendeza zaidi au ilikuwa kubwa zaidi.
Ndoa ni sherehe za ulimwengu ambazo Mungu hazitambui.
Narudia tena, maana ya ndoa ni muunganiko wa mtu mke na mtu mume wanapoamua kusihi pamoja, kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa bustani ya Eden.
Kwanza hata hayo madhehebu, hakuna kati yetu anayejua Yesu Kristu alikuwa dhehebu gani.
Ningekuwa mimi ndiyo Rais wa nchi, ningetengeneza sheria ya kuhakikisha watu wa aina hii wanakuwa na elimu ya shahada ya Teolojia na Falsafa kutoka vyuo vinavyo tambulika kama ilivyo kwa Mapadre wa Katoliki! Baada ya hapo sasa ndiyo wapate sifa ya kuanzisha makanisa yao.Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani.
Mtume huyo, ambaye ni maarufu kwenye kauli tata, amesema hayo wakati akiwahubiria waumini wake huko Matembele, Kata ya Kivule, na mahubiri hayo yamesambaa nchi nzima hadi kwa raia wa kawaida. Wengi wa wananchi niliowashirikisha hii video, wamesema mtume yupo sahihi kwa mujibu wa maandiko matakatifu. Siongezi neno. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini mkuu:
View attachment 3592197
MAONI YANGU
Ijapokuwa sikubaliani na huyu nabii katika mambo mengi, kwa hili la ndoa, namuunga mkono 💯%. Kama kufunga ndoa kanisani ndiyo deal, basi hata Mungu angewafungisha Adam na Hawa ndoa ya kanisani. Vinginevyo, ufungishaji ndoa unaosisitizwa na viongozi wa dini na kuvalishana mipete mbele ya mchungaji au askofu, ni ubatili na uopagani mtupu. Hawa viongozi wanalazimisha kufungisha ndoa kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Nawasilisha.
Nakuunga mkono mkuu. Lakini ameongea ukweli 💯%.Ningekuwa mimi ndiyo Rais wa nchi, ningetengeneza sheria ya kuhakikisha watu wa aina hii wanakuwa na elimu ya shahada ya Teolojia na Falsafa kutoka vyuo vinavyo tambulika kama ilivyo kwa Mapadre wa Katoliki! Baada ya hapo sasa ndiyo wapate sifa ya kuanzisha makanisa yao.
Ni upagani kulingana na dini ya Ukristo kwa sababu sio fundisho lililo kwenye biblia, yuko sahihi.Kusema upagani sio sahihi.
Ila kusema sio lazima kufunga ndoa kanisani sio lazima ndio lugha yenye mashiko
Ni upagani kulingana na dini ya Ukristo kwa sababu sio fundisho lililo kwenye biblia, yuko sahihi.
We jamaa kwa mwaka unasoma vitabu vingapi?