Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
 
Koma kabisa na aliyekutima mwambie alone akomae, Chadema haina Wabunge iliowataja.
 
Huu upumbavu ufike mwisho sasa!

Wanamhujumuje hao watu?

Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?

Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Wewe nawe kichwa chako ni boya kweli...!

Wewe unadhani viongozi ktk mataifa mengine waliowahi kupinduliwa na kuondolewa madarakani huwa hawana washauri...?

Jaribio la kutaka kumpindua Nyerere lililoshindwa mapema miaka ya 1970s unadhani Nyerere hakuwa na washauri...?

Unadhani wewe au washauri hawautaki Urais wake...??
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Pre-empty theory sio?

IMG_20210728_215239.jpg
 
Back
Top Bottom