johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halima anasali kanisani?Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Halima anasali kanisani ?
Unamaanisha mzee Mdee?Halima James Mdee...
Unamaanisha mzee Mdee?
DuhMchungaji nae anaona Gwajima anafaidi sana trending. Hivyo nae anatafuta kiki.
Halima ni jina la bibi ake,but yeye ni christianHalima anasali kanisani ?
it's a pity that most people are still in a denial stateEti anahujumiwa😆😆,, we are excusing incompetence now
Koma kabisa na aliyekutima mwambie alone akomae, Chadema haina Wabunge iliowataja.Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Wewe nawe kichwa chako ni boya kweli...!Huu upumbavu ufike mwisho sasa!
Wanamhujumuje hao watu?
Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?
Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Pre-empty theory sio?Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv