Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.