Nabii Suguye: Naona Chama cha Upinzani kikiibuka kama Giant, kisha nikaona Mwanamke aliyevaa nguo kama za Yanga akashinda Urais 2025

Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.

Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.

Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.

Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.

Video kwenye Youtube Channel yake.
Muongo huyu ,anakimbizana na upepo
 
Anajikomba huyu nabii, anaogopa kabisa lake lisije likafungiwa tena kwa kukusanya nywele na kucha.
 
Ujinga_cleanup.png
 
Tapeli la Kibaha kwa Mathias hilo lenye nasaba za ziwa magharibi na pwani likitambaa kwenye matembele ya kula goigoi
 
Ametafuta njia ya kanisa lake kutofungiwa.
 
ccm wape habari wanazozitaka ili wakusifu uungane nao...huyo mwanamke hajasemwa ni nafasi gani? uenyekiti wa mtaa?, udiwani au ubunge?
 
Hivi haya ni maono au calculation sasa ili kubalance equation aweke wazi chama gani cha upizani cha rangi gani kitaibuka kuwa giant ambacho sio giant kwa sasa.
 
Anajikomba huyu nabii, anaogopa kabisa lake lisije likafungiwa tena kwa kukusanya nywele na kucha.
Aisee nimeona jama video anawambia wakusanye nywele na
Sugunyo ukimlipa vizuri, hata wewe Bush Dokta anaweza kukubashiria Urais!!

Huyo ni Nabii wa UONGO, mganga mvaa suti.
hahaha kweli inaonekana ila sasa mamlaka wanavyompenda ni balaa
 
Aisee nimeona jama video anawambia wakusanye nywele na

hahaha kweli inaonekana ila sasa mamlaka wanavyompenda ni balaa
Hata machief jumba kuu wanaingia sana tu,

Aliyepo ni one term leader.
 
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.

Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.

Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.

Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.

Video kwenye Youtube Channel yake.
Kala na kivimbewa matembere ya huko Kivule
 
Kanisa hilo maarufu Dar es Salaam limekuwa likipokea viongozi wa kiserikali mbali mbaki akiwemo
1. Makamu wa Rais Dr Mpango
2. Akiyekuwa Rc wa Dar Paul Makonda
3. Mbunge na waziri Slaa
4. Pia miezi mitatu iliyopita aliongea na Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Live akiwa kanisani kwenye simu ya mkononi.
Kwahiyo
 
ccm wape habari wanazozitaka ili wakusifu uungane nao...huyo mwanamke hajasemwa ni nafasi gani? uenyekiti wa mtaa?, udiwani au ubunge?
Hahaha mpaka anabashiri ushindi ambao Mtu anashinda kwa goli la mkono anajiita nabii
 
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.

Mambo yashaanza...

Mwaka ule Mzee Lowassa anachuana na JPM, ndio wakati pekee ambao manabii walitapika maunabii yao kwa fujo huku kukiwa na pande mbili kinzani za maunabii...

Wengine walikuja na unabii sijui wa upepo wa kaskazini, wengine wakisema wameona ng'ombe mafahari wawili wakipigana wenye majina John na Edward...
 
Back
Top Bottom