BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Jamaa ni full tapeli anacheza na akili za wajingaMaono feki yasiyo na chembe ya lolote la ajabu, huyo mwanamke wa nguo za Yanga ni Samia na chama cha upinzani giant ni Chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni full tapeli anacheza na akili za wajingaMaono feki yasiyo na chembe ya lolote la ajabu, huyo mwanamke wa nguo za Yanga ni Samia na chama cha upinzani giant ni Chadema.
Huyo si alifungiwa kipindi fulani hivi? anatengeneza uchawaJamaa msanii kweli eti aliyevaa nguo kama za Yanga, tunajua ccm wana nguo za njano, na bila shaka Samia atashinda tu sasa nao ni utabiri huo.
Muongo huyu ,anakimbizana na upepoNi Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
wewe unajua?Sasa Kuna mtanzania ambae hajuwi mwaka 2025 mwanamke ndie ataushinda urais?
Ana tabiri magori ya Mkono anataka tumuamini naye ni nabiiMuongo huyu ,anakimbizana na upepo
Tapeli la Kibaha kwa Mathias hilo lenye nasaba za ziwa magharibi na pwani likitambaa kwenye matembele ya kula goigoiNi Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
Ukristo hauko hivyo. Na aelewe kuwa kuchanganya dini na siasa, anapotea siyo muda mrefu kama akina Kobe na Mbunge. Mungu hataniwi!Jezi za CCM
Ufipa Jezi za Makolo
ACT Wazalendo Jezi za Mbeya City
NCCR Jezi za Azam FC
Nabii yuko sahihi Mama 5 tena
Aisee nimeona jama video anawambia wakusanye nywele naAnajikomba huyu nabii, anaogopa kabisa lake lisije likafungiwa tena kwa kukusanya nywele na kucha.
hahaha kweli inaonekana ila sasa mamlaka wanavyompenda ni balaaSugunyo ukimlipa vizuri, hata wewe Bush Dokta anaweza kukubashiria Urais!!
Huyo ni Nabii wa UONGO, mganga mvaa suti.
Hata machief jumba kuu wanaingia sana tu,Aisee nimeona jama video anawambia wakusanye nywele na
hahaha kweli inaonekana ila sasa mamlaka wanavyompenda ni balaa
Kala na kivimbewa matembere ya huko KivuleNi Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
KwahiyoKanisa hilo maarufu Dar es Salaam limekuwa likipokea viongozi wa kiserikali mbali mbaki akiwemo
1. Makamu wa Rais Dr Mpango
2. Akiyekuwa Rc wa Dar Paul Makonda
3. Mbunge na waziri Slaa
4. Pia miezi mitatu iliyopita aliongea na Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Live akiwa kanisani kwenye simu ya mkononi.
Hahaha mpaka anabashiri ushindi ambao Mtu anashinda kwa goli la mkono anajiita nabiiccm wape habari wanazozitaka ili wakusifu uungane nao...huyo mwanamke hajasemwa ni nafasi gani? uenyekiti wa mtaa?, udiwani au ubunge?