Nabii Tito kunywa bia na kuzaa na house girl sio dhambi

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Unaichukuliaje hii imani ya nabii

Mimi nimeishia kucheka!
 
Nadhani huyo mungu wake anaye muabudu ndiye kawafanya hao wampe kik ya bure. Alikuwa hajulikani ila sasa atajulikana kila kona. Lile jibu alilompa afwandey nadhani ndio limempaisha. Atii; "Wewe wasema" Dah! Jamaa kabaki kusoma karatasi aliyo andikiwa namna ya kumjibu Tito yule nabii fake. Serekali iache kuwainua hawa watu. Yule hakika sio mtu wa kumtuma mkuu ka yule kwenda kumkamata huku anasindikizwa na walinzi wake pamoja na camera. Ningelikuwa ni mimi, ningelimtuma mgambo wa sokoni kumtia lock up tena ya sokoni halafu akimtoa huko ampeleke mahakama ya mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…