Nadhani huyo mungu wake anaye muabudu ndiye kawafanya hao wampe kik ya bure. Alikuwa hajulikani ila sasa atajulikana kila kona. Lile jibu alilompa afwandey nadhani ndio limempaisha. Atii; "Wewe wasema" Dah! Jamaa kabaki kusoma karatasi aliyo andikiwa namna ya kumjibu Tito yule nabii fake. Serekali iache kuwainua hawa watu. Yule hakika sio mtu wa kumtuma mkuu ka yule kwenda kumkamata huku anasindikizwa na walinzi wake pamoja na camera. Ningelikuwa ni mimi, ningelimtuma mgambo wa sokoni kumtia lock up tena ya sokoni halafu akimtoa huko ampeleke mahakama ya mwanzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.