The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Utapeli tu hakuna cha utabiri wala nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bravo..!Nakupa Povu ufulie nguo angalau upate muda wa kuwa busy ku-mind issue zako.
Kama kutojua kuandika kiswahili fasaha ni ujinga bora niendelee kuwa mjinga... Wewe mwerevu mwenye kujua kiswahili fasaha, umefika wapi. Au kutwa kushinda humu JamiiForum. Mwenye akili aangaiki kutafuta kasoro kwenye vitu vya kijinga, au wewe Mwalimu wa kiswahili. Kama wewe Mwalimu wa kiswahili sema mapema tukutafutie kazi BAKITA au TUKI.
Mimi sijali kuhusu kususiwa Uzi, nina content nyingi sana zenye engagement kubwa hapa JamiiForum... Labda wewe ndio unaogopa au unajali mambo ya kususiwa. Tafuta kazi, kuposti JamiiForum na kupata engagement sio achievement kijana au mashindano
Kulikuwa na tetemeko kubwa Japan tarehe 1 January mwaka huu wa 2024, Nabii tapeli ameshachelewa.Swali sio hazikuwepo au zimekuwepo kwa muda gani.
Hapo swali ni zinatokea kipindi gani na ni za aina gani, ndio maana halisi ya utabiri.
Si ndio hapo kasema kuwa tarehe 31/12/2023 alitabiri tetemeko hilo, na ndani ya masaa 12 likatokea, ambapo masaa hayo ni ya tarehe 1/1/2024... Au wewe ukisikia ndani ya masaa 12 unaelewa jeKulikuwa na tetemeko kubwa Japan tarehe 1 January mwaka huu wa 2024, Nabii tapeli ameshachelewa.
Kuonyesha upumbavu wako hapa ndio sindano wewe punguani.Sindano imekuingia
Unabii huo umepewa toka kituo kipi Cha polisi ?Hata mimi ni nabii. Nimeshatabiri CCM kushinda uchaguzi 2025.
BSSi ndio hapo kasema kuwa tarehe 31/12/2023 alitabiri tetemeko hilo, na ndani ya masaa 12 likatokea, ambapo masaa hayo ni ya tarehe 1/1/2024... Au wewe ukisikia ndani ya masaa 12 unaelewa je