Nabii wa Wasafi TV atoa Utabiri wa Mwaka 2024

Bravo..!
Kumbe unajua kuandika kiswahili fasaha.
Ni sehemu ndogo tu..aangaiki = hahangaiki.
 
Swali sio hazikuwepo au zimekuwepo kwa muda gani.

Hapo swali ni zinatokea kipindi gani na ni za aina gani, ndio maana halisi ya utabiri.
Kulikuwa na tetemeko kubwa Japan tarehe 1 January mwaka huu wa 2024, Nabii tapeli ameshachelewa.
 
Kulikuwa na tetemeko kubwa Japan tarehe 1 January mwaka huu wa 2024, Nabii tapeli ameshachelewa.
Si ndio hapo kasema kuwa tarehe 31/12/2023 alitabiri tetemeko hilo, na ndani ya masaa 12 likatokea, ambapo masaa hayo ni ya tarehe 1/1/2024... Au wewe ukisikia ndani ya masaa 12 unaelewa je
 
Yule WA dar alisema dar itahangaika yote Leo nipo nakula ugali hapa
 
Mpinga Kristo yupo tu toka kitambo mbona ishara zake tayari
 
Huyo nabii atakuwa ni kiboko kwelikweli kwasababu naona utabiri wake wa majanga na mabadiliko ya hali ya hewa na machafuko unaanza kutimia humu ndani ya uzi .
 
Kuonyesha upumbavu wako hapa ndio sindano wewe punguani.
Tulia nikudunge sindano wewe limbukeni wa kiswahili... Unajifanya ni gwiji sana wakati ulipata F somo la kiswahili
 
Huyo nabii atakuwa ni kiboko kwelikweli kwasababu naona utabiri wake wa majanga na mabadiliko ya hali ya hewa na machafuko unaanza kutimia humu ndani ya uzi .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Duh
 
Si ndio hapo kasema kuwa tarehe 31/12/2023 alitabiri tetemeko hilo, na ndani ya masaa 12 likatokea, ambapo masaa hayo ni ya tarehe 1/1/2024... Au wewe ukisikia ndani ya masaa 12 unaelewa je
BS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…