Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
- Thread starter
- #21
Near that place......(Tanza)niaNear that place...! Almost done!👌🏿📌🔨
Near that place......(Tanza)niaNear that place...! Almost done!👌🏿📌🔨
Exactly na Kuna mtumishi kamchana kasema unamuombea rais wakati ukweli unaijua nimempenda kaongea ukwelikuna watu wanajua kweli ni nini, haki ni nini ila ni waoga kuhubiri haki na kweli. mwamposa na askofu wake wameamua kumfurahisha mwanadamu wakati wakijua kabisa kuna watu wanapotea na kuuawa, na hadi makanisa yanafutwa, na kwenye kusanyiko lao hilohilo kiongozi wetu sisi sote amesema waumini wa gwajima wanaabudu ushetani, pengine ndio maana amewafungia. ninyi waoga wote msiotetea haki, jueni ni dhambi. Mungu amewapa sauti na nafasi mlizo nazo mbele za watu ili mtetee haki na wasio na nafasi zenu za kusema. kuna familia nyingi zinaugua mioyo watoto wao wamepotea wameokotwa wameteka n.k ila hawana wa kuwasemea, Mungu amewapa ninyi nafasi ila mmeamua kuside na wadhalimu. mtakunywa kikombe kilekile cha mvinyo ya hasira ya Mungu.
UFUNUO 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Babeli mpaka idondoke chini mwaka huuExactly na Kuna mtumishi kamchana kasema unamuombea rais wakati ukweli unaijua nimempenda kaongea ukweli
Huyu kasema wanataka ugali kanyooka pia
Ila aikwambie mtu watu wanaomba aisee🙌🙌 km Kuna mwaka watu wameshtuka na wanaomba na huu pia .....
Unafuatilia Kwenye acc yake Kwa mara ya kwanza aliongea 3 yrs a goYa mwaka jana
Hizi sio latest ni ya Dec hii last yrsasa nabii, unasema tumwombee rais, tumwombee tukiwa wapi sasa wakati amefunga makanisa yetu?
Hii ni ya Dec last yr kuja Januarysasa huyu nabii mahubiri yooote, hajaongelea kufungwa kwa kanisa la gwajima, anaogopa la kwakwe lisije kufungwa. kweli usimame madhabahuni uongee mahubiri yote kutetea waovu bila kutetea kanisa la Mungu? kwa hiyo baada ya huyu nabii kushindwa kura ndo kakimbilai unabii? na, tungefurahi angetoa ushauri huu kabla ya polepole.
UFUNUO 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Yaani nasema hivi kanisa tuamke tuendelee kitaeleweka tuBabeli mpaka idondoke chini mwaka huu
Wanashtuka machawa labda lkn ambao tunaelewa nyakati na majira yamebeba Nini na yanataka nn Wala hatishtuki🤣🤣🤣Ukitaka kuwapalisha chakula au kuwatolesha ushuzi chadema we sema tu, "Mama Samia huyooo!!!"🤣🤣🤣🤣
Wanastukaaa!!
Hii video kati kati wameandika 28 April 2024 Sunday Service, ina maana ni mwaka jana..Hii ya 3 yrs a go,ulikuwa wapi..... jitahidi kuwa updated 😅
Ila mwaka jana Tena km sikosei aliongea tena
Ameshafanya makosa ya kufungia kanisa. Tunasubiri sasa hayo maamuzi mengine ambayo anasema yatagawa watu.
Huyu ni CHAWA tu
Pumbaaavu!! Ngoja ninyamaze tu.Wanashtuka machawa labda lkn ambao tunaelewa nyakati na majira yamebeba Nini na yanataka nn Wala hatishtuki🤣🤣🤣
Na naomba Mungu msishtuke muendelee kushupaza shingo
Yes ni sahihi nilidhani Ile ya kwanza, manaake alirudia kuongea ni Kuna ya 3 yrs a go ,then last yr akaongea TenaHii video kati kati wameandika 28 April 2024 Sunday Service, ina maana ni mwaka jana..
Yaani nimeshangaa, yaani katembea mule mule na JK 😂😂Msoga ni kama kirusi, mpaka kwenye ramli anaonekana🤣🤣🤣🤣
Stupid prophecy