Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

sasa huyu nabii mahubiri yooote, hajaongelea kufungwa kwa kanisa la gwajima, anaogopa la kwakwe lisije kufungwa. kweli usimame madhabahuni uongee mahubiri yote kutetea waovu bila kutetea kanisa la Mungu? kwa hiyo baada ya huyu nabii kushindwa kura ndo kakimbilai unabii? na, tungefurahi angetoa ushauri huu kabla ya polepole.

UFUNUO 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Exactly na Kuna mtumishi kamchana kasema unamuombea rais wakati ukweli unaijua nimempenda kaongea ukweli

Huyu kasema wanataka ugali kanyooka pia

Ila aikwambie mtu watu wanaomba aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ km Kuna mwaka watu wameshtuka na wanaomba na huu pia .....
 
Babeli mpaka idondoke chini mwaka huu
 
sasa nabii, unasema tumwombee rais, tumwombee tukiwa wapi sasa wakati amefunga makanisa yetu?
Hizi sio latest ni ya Dec hii last yr
Watu wanafukua tu makaburi ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ SI unajua Tena nabii zinatimia taratibu wanatukimbusha
 
Hii ni ya Dec last yr kuja January
So haya yote tunayoyaona yalikuwa hayajatokea,ndo hii siku aliongea pia kuhusu polepole kurudi nyumbani.....so sio ya ss!

Ila ya Rolinga ndo latest
 
Ukitaka kuwapalisha chakula au kuwatolesha ushuzi chadema we sema tu, "Mama Samia huyooo!!!"๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wanastukaaa!!
 
Ukitaka kuwapalisha chakula au kuwatolesha ushuzi chadema we sema tu, "Mama Samia huyooo!!!"๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wanastukaaa!!
Wanashtuka machawa labda lkn ambao tunaelewa nyakati na majira yamebeba Nini na yanataka nn Wala hatishtuki๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Na naomba Mungu msishtuke muendelee kushupaza shingo
 
Wanashtuka machawa labda lkn ambao tunaelewa nyakati na majira yamebeba Nini na yanataka nn Wala hatishtuki๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Na naomba Mungu msishtuke muendelee kushupaza shingo
Pumbaaavu!! Ngoja ninyamaze tu.
 
Mhhh, mbona kalenga mule mule aisee?!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,

Huyu mama ni mgombea haram!
 
Men behind that throne, yale ya polepole gari halina mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ