Nabisha hodi wana jf Naomba mnipokee tusukume gurudumu

Nabisha hodi wana jf Naomba mnipokee tusukume gurudumu

karibu, fuata kanuni za humu tu utakuwa salama.
 
mgeni njoo wenyeji tupone,hauna mia ya karibu hapo nichuke sigara mara moja!!
 
Karibu sana.Hebu nitumie laki kwenye mpesa nikamalizie weekand.Usiwe mkali ukikosolewa na usiwe mchoyo kumwelimisha mtu
 
Karibu sana fuata sheria za jamvi,kubali kukosolewa na post hoja zenye mashiko na inayolenga kujenga na si kubomoa.
 
Back
Top Bottom