Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Hiyo Saccos ni chadema?
 
Hilo chozi lako wahuni wanalipigia nyeto QM
 
Kwani Mwashambwa?
 
 
Uliambiwa upunguze kiherehere utumie akili yako hata kidogo hukutaka kuelewa
 
Hamia act wazalendo. Hata hivo hauna ushawishi LABDA ukawe mbeba mabegi WA mpina.


Kwishaaaa
 
Bado sindano haijakuingia bado unaandika kwa mafumbo?funguka kama mwenzio Polepole twende sawa
 
Hatimae umeanza kupona sasa, pongezi zote ziwaendee madaktari wa hospitali ya taifa ya magonjwa ya akili mirembe
 
Lucas Mwashambwa, naona umepata wafuasi wa kububujikwa machozi bwashee. Kububujikwa machozi kuko kwenye chati sasa 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…