Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Mods muwe na utu kidogo,
Lukas Mwashambwa tunayemjua hapa sio huyu pumbavu aliyefungua ID fake hapa hapa.
Piga Ban hii taka taka hata maisha.
Nashangaa sana maana LUCAS Og kawasilisha malalamiko yake, kaongea kila kitu kwamba kuna mjinga anatumia ID yake na ni rahisi tu kuona.
Mwashambwa=real
Mwashamba=fake.
Kwanini jambo hili mnalifumbia macho km hamna kilichotokea.
Na mmelalamikiwa Live hapa wiki sasa.
Fanyeni kazi zenu Kwa ufasaha na msimamie maadili mlisema hapa tangu zama jambo forum.
Wote nawajua humo ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…