ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu inahitaji chumvi so haifai kuchanganya sukari na chumvi sijui sayansi yake ya wapi mbona me sijaliona tatizo hapo Kwangu me inatembea vizuri tu maana Ndizi ni tunda linalotumika sana ambalo linaweza kuliwa wakati wowote wa siku, bila kujali umekula nini hapo awali. Ndizi zina lishe na ni rahisi kusaga,zina potassium Kwa wingi sana kama sijakosea hivyo basi ni chaguo zuri jisikie huru kufurahia ndizi wakati wowote unapopenda, iwe ni kabla, baada ya, au wakati wa chakula.