Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Part 2 nisaidie ww.mi vidole vinaniuma nashindwa kuandika mana leo nimecomment thread nyingi sana.
nitakusaidia kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Part 2 nisaidie ww.mi vidole vinaniuma nashindwa kuandika mana leo nimecomment thread nyingi sana.
Tangu 2008, nimekuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana na tulitarajia kuona, bahati mbaya akatembea na waziri mmoja kijana, nilipogundua ilinibidi niachane naye. Baada ya hapo nikakutana na mdada mwingine ambaye nilikuwa naelekea kuanza uhusiano naye, kwani alinambaia kwamba yuko single. Kilochotokea ni kupigiwa simu kutishiwa maisha na mtu aliyejitambulisha kama boyfriend wa huyo mdada. Sikutaka kujua nini wala nini ilinibidi nikimbie kwani nilithamini sana uhai wangu. Hivi majuzi tu, nimekutana na mdada ambaye nimetokea kumpenda na tumewasiliana vizuri kweli, she has made me very happy just reading from her na kuingiwa na matumaini kwamba nimempata mwenza. Kilichobakia ni mimi na yeye kuzungumzia maisha ya baadae na kujuana vizuri. Hii excitement ilinibidi nimishirikishe shangazi yangu na hata rafiki wa karibu. Kwa bahati mbaya baada ya kumwambia rafiki yangu kumhusu huyu mdada, alistuka na kunyamaza. Alipofika nyumbani alinitumia ujumbe ulionistua kweli akiniambia kwamba mie ni kichaa, mbona nashobokea mademu wake? Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake. Wanajamvini, sikufahamu kwamba huyo mdada niliyekutana naye alishawahi kutoka na rafiki yangu. Baada ya kumwelezea, huyu dada alikuja juu na hata kunitukana badala ya kuniuliza the whole stori
Concern:
Ni kwa nini kila mdada ninayekutana naye kitu kibaya kinatokea kama hivi? Naombeni maoni yenu. Kwani huyu dada wa mwisho nilitegemea kuwa dream girl mwenye qualities zote. Na kusema kweli, mimi siyo cheater, I have never cheated, and very laid back. I get alot of women come to me, but I am very scared. Hii incident ya mwisho imeniogopesha zaidi nachanganyikiwa sijui la kufanya
Engineer | Ministry of Infrastructure
Currently in China

Nazidi kushawishika niandike kitabu cha mambo ya uchumba (sio ndoa)
Hivi mtu utalalamikaje kuwa niliye naye nimegundua alikuwa na uhusiano? what did you expect? Hivi unatarajia kuwa ni rahisi sana ukutane na msichana/mvulana mzuri, alafu asiwe na mtu? Hivi wewe ni nani ndo utarajie kuwa wazuri utawaona wewe tu?
Kama wewe ni mfanyabiashara, unajua kuwa hata ukitaka kukodi frame, utaishindania na wafanyabiashara wenzio kadhaa, na ujanja na hela yako ndiyo itakayokutoa.
Hivi we unataka uje ukute msichana ambaye hana mtu kabisa ndo uanze nae! Kama ndivyo tegemea kukutana na nungayembe, tena garasa la kutupa. Kwa taarifa yako kila mdada mzuri ambaye ahjajiwekea kipingamizi, ana mwanaume wake mmoja au zaidi, waukwel, na wengine kadhaa walioko reserve list, wanaosubir kuingia uwanjani saa yeyote. Sasa wewe unataka usajiliwe leo, uanze kuchezea kikosi cha kwanza leo leo? kwani unadhani we nani hadi ukubaliwe wewe kama wengine wote walikataliwa?
Yani umenisikitisha sana, tena ngoja niianzishie thread kabisa ili na wenzio wasije tena na matatizo kama hayo siku nyingine?
njoo uku mwaya upumzke......du au una jin mahaba wewe?NJOO MIMI NTAMPUNGA....Tangu 2008, nimekuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana na tulitarajia kuona, bahati mbaya akatembea na waziri mmoja kijana, nilipogundua ilinibidi niachane naye. Baada ya hapo nikakutana na mdada mwingine ambaye nilikuwa naelekea kuanza uhusiano naye, kwani alinambaia kwamba yuko single. Kilochotokea ni kupigiwa simu kutishiwa maisha na mtu aliyejitambulisha kama boyfriend wa huyo mdada. Sikutaka kujua nini wala nini ilinibidi nikimbie kwani nilithamini sana uhai wangu. Hivi majuzi tu, nimekutana na mdada ambaye nimetokea kumpenda na tumewasiliana vizuri kweli, she has made me very happy just reading from her na kuingiwa na matumaini kwamba nimempata mwenza. Kilichobakia ni mimi na yeye kuzungumzia maisha ya baadae na kujuana vizuri. Hii excitement ilinibidi nimishirikishe shangazi yangu na hata rafiki wa karibu. Kwa bahati mbaya baada ya kumwambia rafiki yangu kumhusu huyu mdada, alistuka na kunyamaza. Alipofika nyumbani alinitumia ujumbe ulionistua kweli akiniambia kwamba mie ni kichaa, mbona nashobokea mademu wake? Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake. Wanajamvini, sikufahamu kwamba huyo mdada niliyekutana naye alishawahi kutoka na rafiki yangu. Baada ya kumwelezea, huyu dada alikuja juu na hata kunitukana badala ya kuniuliza the whole stori