poa kua makin bro usije haribu mambo mi nlishawah chapa rafiki wa demu yangu dah dem wang alipojua waligombana sana na mpk leo ni maadui...huwa naumia sana watu nliowakuta marafiki wakubwa nmewatenganisha kwajili ya ujinga wangu dah..sitorudia tena so kuwa makin maana majuto mjukuu