Nachat na shemeji yangu muda huu

Nachat na shemeji yangu muda huu

poa kua makin bro usije haribu mambo mi nlishawah chapa rafiki wa demu yangu dah dem wang alipojua waligombana sana na mpk leo ni maadui...huwa naumia sana watu nliowakuta marafiki wakubwa nmewatenganisha kwajili ya ujinga wangu dah..sitorudia tena so kuwa makin maana majuto mjukuu
Ni kweli kabisa nitakuwa makini

great thinker
 
Back
Top Bottom