Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 31
Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa!
Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku wengi na kuwafungua watanganyika kuhusu ndoa ya watu wawili kati ya kijani na zambarau, moja kwa moja ikawa ni kama tayari ugomvi wa bibi na bwana umeanikwa kwenye kadamnasi sasa ikabidi isukwe script "apa ni tufanye kumuengua uyu ngosha ili ionekane kile kinachosemwa na balozi ni uongo... Eenhh si watanganyika wataanza kuulza" mmhh kama ni kwel hawa jamaa wana ndoa mbona mke mkubwa kaenguliwa wakati mume ndo msimamizi wa mambo yote nyumbani"??
"Mmhhh hamna bhana balozi ni muongo hawa watu hawana ndoa mana wangekuwa kweli wameoana uyu mume asingekubali kuona mke anafukuzwa dakika hizi za mwisho".
Mwisho alietoa wazo la script akauliza vipi wakuu hii script vp mnaona imekaaje? Wakuu wakaitikia "ndyooo" tuipeleke hii imekaa poa!
End ov the day ndo hilo picha mnaona limechezwa leo chini ya starring "founder wa Kigoma All Stars"
LEKA DUTIGITE!
Wahindi wa nakwambia "you maluumu?" 🫵