Octoba sitiki
Member
- Jul 15, 2025
- 20
- 31
Kwenye vyama vya upinzani, wapo wanachama ambao ni wapinzani wa kweli na wanachama ambao ni kazi maalum. Kazi ya wanachama kazi maalum ni kuhujumu (kwa namna mbalimbali) mikakati ya wale wapinzani wa kweli, including kutengeneza migogoro ya ndani, etc.Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa!
Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku wengi na kuwafungua watanganyika kuhusu ndoa ya watu wawili kati ya kijani na zambarau, moja kwa moja ikawa ni kama tayari ugomvi wa bibi na bwana umeanikwa kwenye kadamnasi sasa ikabidi isukwe script "apa ni tufanye kumuengua uyu ngosha ili ionekane kile kinachosemwa na balozi ni uongo... Eenhh si watanganyika wataanza kuulza" mmhh kama ni kwel hawa jamaa wana ndoa mbona mke mkubwa kaenguliwa wakati mume ndo msimamizi wa mambo yote nyumbani"??
"Mmhhh hamna bhana balozi ni muongo hawa watu hawana ndoa mana wangekuwa kweli wameoana uyu mume asingekubali kuona mke anafukuzwa dakika hizi za mwisho".
Mwisho alietoa wazo la script akauliza vipi wakuu hii script vp mnaona imekaaje? Wakuu wakaitikia "ndyooo" tuipeleke hii imekaa poa!
End ov the day ndo hilo picha mnaona limechezwa leo chini ya starring "founder wa Kigoma All Stars"
LEKA DUTIGITE!
Wahindi wa nakwambia "you maluumu?" 🫵
Kwa akili yako monalisa anamakosaKwenye vyama vya upinzani, wapo wanachama ambao ni wapinzani wa kweli na wanachama ambao ni kazi maalum. Kazi ya wanachama kazi maalum ni kuhujumu (kwa namna mbalimbali) mikakati ya wale wapinzani wa kweli, including kutengeneza migogoro ya ndani, etc.
ACT walipomsajili Mpina, ambaye alikuwa anataka kufanya upinzani kwa kumaanisha, mwanachama kazi maalum akaingia kazi kuharibu mpango wa Mpina. Monalisa ni mwanachama kazi maalum.
Baada ya bunge kwisha, kuna mbunge alibandika hii picha na kusema "kwa kweli bunge lilitawaliwa, tunasubiri wabunge wajao," na akaongezea kwa kusema "I hope watakuwa warembo na wasio na mambo mengi." Yaani sina hamu kabisa na wabunge wa kike haswa wa kuteuliwa ili kuwa mizoga ya wabunge mafuska.Wanajiona kama kinyeo na ushuzi kufanikisha ajenda ya mavi.
Umoja wana CCM wakimulika mwenge dira za pajama zao
View attachment 3455476
Mwanachama kazi maalum! Wapo wengi kwenye vyama vya upinzani.Kwa akili yako monalisa anamakosa