Nachelea kukubali Udaktari uliopo ndani ya Hamis Kigwangalla

Nachelea kukubali Udaktari uliopo ndani ya Hamis Kigwangalla

Mimi naelewa kwanini kina Shaka ndiyo wanapewa vyeo vya kukiendesha chama.

Everyday is Saturday............................... ๐Ÿ˜Ž
 
Tanzania tuna mfumo mbovu sana wa kupata viongozi !!! Na hili taifa litasuasua sana kushamiri !!!
Viongozi wanaopewa dhamana hawana Vision wala mission!???
 
Chunguza hili kwa muda wako binafsi Binadamu wengi wapenda na waamini ' Ushirikina ' baadae huja kuwa ni Wapumbavu ( Mapopoma ) sana halafu hata ' Utahaira ' nao huanza kuwaingia taratibu na huja Kufa Vifo vibaya, vya ajabu na vya ' Kushtukiza ' pia kama cha Mwezi Machi, 2021 ila tarehe ndiyo nimeisahau tu kwa sasa.

Ushirikina ni kitu kibaya sana na ndio kimechangia sana kwa yote mabaya yaliyomkuta mwendazake! Alipoingia madarakani wakina Makonda wakamuingia kwa gia kwamba asingeweza kuishi IKULU ya magogoni bila kufanya uchawi kwani Vasco Dagama alikuwa amefuga majini ya kwao mule hivyo waganga walitakiwa wazindue uchawi ule wa Kikwere!!! Mwendazake akaingia kingi na ndio mwanzo wa masheikh kuanza kumfanyia dua mwendazake huku waganga wa kisukuma nao wakifanya ya kwao huko Bariadi ; sasa sijui mchanganyiko wa haya mauchawi ndio yaliyomfanya akachanganyikiwa nobody knows!!!

Hizo imani za kishirikina ndio zilimfanya Makonda akawa karibu sana na mwendazake!!! Nadhani baadae majini yao yaliwageukia wakaanza kutoelewana!!
 
Nani
Kwa ujumla ni kushuka kwa maadili na haiba ya uongozi ktk nchi yetu.

Siyo Kigwa peke yake, kuna mtu aligombea urais kabisa, anaongoza kwa kutukana huko mitandaoni, anatukana mpaka maiti.

Now you can imagine, huyo ntu ndiye alitaka kuwa rais wetu! Tungepata rais wa hivyo sijui nchi ingekuwaje?

Nadhani salamu zetu zingeanza na matusi:
Msalimiaji: "nyie wangese peoples "
Waitikiaji: "power kudadeki zako"
Nina mashaka hata hadhi ya urais huenda imekosa uzito,tunahitaji house of common au house of Lord ili kudhibiti mwendo wa ikulu
 
Back
Top Bottom