πππππKwa ujumla ni kushuka kwa maadili na haiba ya uongozi ktk nchi yetu...
"Peleka matako huko"Kwani hatujawahi kuwa na rais mtukanaji!!??
"Baki na mavi yako nyumbani" ni kauli ya kwenye kitabu cha dini?
Chunguza hili kwa muda wako binafsi Binadamu wengi wapenda na waamini ' Ushirikina ' baadae huja kuwa ni Wapumbavu ( Mapopoma ) sana halafu hata ' Utahaira ' nao huanza kuwaingia taratibu na huja Kufa Vifo vibaya, vya ajabu na vya ' Kushtukiza ' pia kama cha Mwezi Machi, 2021 ila tarehe ndiyo nimeisahau tu kwa sasa.
Nina mashaka hata hadhi ya urais huenda imekosa uzito,tunahitaji house of common au house of Lord ili kudhibiti mwendo wa ikuluKwa ujumla ni kushuka kwa maadili na haiba ya uongozi ktk nchi yetu.
Siyo Kigwa peke yake, kuna mtu aligombea urais kabisa, anaongoza kwa kutukana huko mitandaoni, anatukana mpaka maiti.
Now you can imagine, huyo ntu ndiye alitaka kuwa rais wetu! Tungepata rais wa hivyo sijui nchi ingekuwaje?
Nadhani salamu zetu zingeanza na matusi:
Msalimiaji: "nyie wangese peoples "
Waitikiaji: "power kudadeki zako"