Nachelewa kufika keleleni

raees

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
43
Reaction score
46
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa tatizo langu la kuchelewa kufika kileleni.

Huwa nachelewa sana nikianza kufanya mapenzi na mwanamke hali inayonipelekea wanawake kunikimbia naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa tatizo langu la kuchelewa kufika kileleni. Huwa nachelewa sana nikianza kufanya mapenzi na mwanamke hali inayonipelekea wanawake kunikimbia naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Mchinga Sound
 
Wanawake watakuwa wanakukimbia kwa mengine. Ila pia wamepata sababu.
Kwahiyo inakuwa ni rahisi maana ww unajua ni hilo kumbe wao wana mengine.

Inawezekana hauko romantic.(ww unaparamia tu).
Hauwatunzi.
Mkorofi.
Mchafu.
Haujui mapenzi. Nk
Yaan ww ukipanda ni chini juu chini juu, kifo cha mende, na vurugu kibao. Alaf unakaa ma dk kadhaa.

Na huko Kuchelewa kufika ni dk ngap unazoongelea?.

Maana mm ninavyojua Mwanamke ukimfanya vizur na kwa muda mrefu anakuganda..
 
Sasa utashika lipi ndugu yangu,. Maana ukiwahi kufika napo utaachwa
 
We hujui what's ur problem nani akukimbie unachelewa kufika maybe hujui process 😹🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…