Nachelewa kufika keleleni

Nachelewa kufika keleleni

😂😂Sasa si analima shamba lako kwa muda mrefu ili listawi vizuri wajameni!!.
Sitak fracture za bure apo nikiumwa Ata gharama ya dawa sitaona akati kanipa magonjwa 😹🙌🏾
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Inapaswa akishachoka muache apumzke baadae unaendelea ,


Ukipumzk ukaja kuendelea ni chapu tuu
 
Tatizo lenu nanyie mnapenda mfanyiwe vingi,mgikishwe kileleni/mkojozwe mara ufanyiwe raomntic yalaaa.... Kwani hakuna njian ya kupalilia kwakuchelewa ila shamba lilimike tu.
Violence tu 😹😹🙌🏾
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa tatizo langu la kuchelewa kufika kileleni.

Huwa nachelewa sana nikianza kufanya mapenzi na mwanamke hali inayonipelekea wanawake kunikimbia naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Ujanja wa kizamani huo,wa wakongwe wa JF miaka ya 2016 kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom