Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

MwaFricamweuSiTii

Senior Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
125
Reaction score
121
Jamani nina wake wawili kila mmoja anaishi nyumbani kwake nyumbani za kawaida sana ila wanazipenda mana ni watu wa dini zaidi , wanapendana saaaaana wao kwa wao tena sana mana nimejaribu kuwachunguza kwa kiasi kikubwa nimegundua wanapendana kwakweli.

Ila undani zaidi wa upendo wao anaujua mungu na kila mmoja ana mtoto mmoja nina miaka 29 wenyewe mmoja ana 23 mwingine 21 tatizo langu sio wao ni mimi binafsi kuwatanguliza katika story ili mjue nimejaribu kujitetea kiasi lakini wapi nikwamba ninapo kuwa na mmoja kati yao faragha nikama nauwaga vile mana naweza kaa hapo juu kwa muda wa DK 45 ndio nifikie mshindo wa kwanza.

Muda huo anakuwa analia mpaka naisi atazimia yani na sijawahi kutumiwa dawa toka nikiwa kijana mbichi zaidi nilikuwa mtu wa matizi sana push up naweza kupiga 100 ndio nisimame then nipige 50 kisha 50 tena mpaka zifike 300 na chaajabu yeye anakuwa Kesha enda mishindo ya kutosha haijawahi kutokea nimefanya nao nikaenda mishindo miwili mana nikijaribu hawataki nahisi nitakwenda mpaka asubuhi lakini nisifike kilele.

Hili tatizo au maana nimesha cheki afya iko sawa na situmiagi nguvu yeyote ya ziada hii sio hatari jamani mana hata wenyewe nahisi wanatamani wazoee mapigo yangu lakini hayazoeleki hii ni ugojwa ama nguvu ni nyingi sana au nini ??? Nisaidieni kwa uelewa wenu juu ya hili please .
 
Kama wanawake wanaopenda dini kwa kweli basi kuna uwezekano hawajacheza mechi nyingi, na ni bado watoto 21.
 
Kilichokufanya ukimbilie mke wa pili wakati wa kwanza analia tuuuu ni nini?

Unafkiri ni sifa?

Angekuwa anafurahia she would have cum, na angebaki anakulalia kifuani, when both of you are spent and she would fall asleep with a smile on her lips. Moyoni anasema ***** kidume si ndo hiki.
 


Zigeuze hizo nguvu kuwa Hela!
 
Mimi sijui sijakuelewa au hiyo style yako ya kuandika ndo inanichanganya!



Walioelewa naomba mnieleweshe maana nimeshindwa hata kumalizia kusoma
Anaomba ushauri,kwamba kukaa kifuani dk 45 ni ugonjwa ama?mana wake zake wawil alionao wanaliaga sana akiwa anawakula,et hajojoagi mapema[emoji125] [emoji125]
 
Jamani kiarabu naweza kuandika vizuri kuliko kiswahili mana huku sikubahatika kupitia sana hivyo kueni wapole , Alafu kingine sio kwamba nimetoa tangazo ili iweje sijui mana watu wanamaneno hatari vijogoo vikiwa vingi huwaga vina uharibu usiku
 
Na hela zi wewe nini ?


Hela ndiyo mwisho, ukiwa nazo wala huhitaji kujitutumua sijui unakaza sana hilo siyo tatizo, kwani hata ukoo wako unaweza kuusaidia ukiwa na hela nyingi lkn nguvu ya kulala na Mwanamke itakupeleka wapi?
 
Hela ndiyo mwisho, ukiwa nazo wala huhitaji kujitutumua sijui unakaza sana hilo siyo tatizo, kwani hata ukoo wako unaweza kuusaidia ukiwa na hela nyingi lkn nguvu ya kulala na Mwanamke itakupeleka wapi?
Ahaaa sawa ila kumbuka nguvu haipatikani Sheli kama petroli wala huwaga sifanyi sifa ishu ni kwamba inatokea tu nadhani kimaumbile pengine alafu katika maisha kizuri sio pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…