Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unaona sifaaa,,,,fyuuu ipo cku utafia papuchini wewe!!!!
 
Kwani we mkuu kuchelewa kufika kileleni wewe inakukost nini? Au unaona ni tatizo gani linakukumba....!!!

Nimenote umetumia dawa za kuongeza nguvu wewe sio bure.!!!
 
Sijawahi kutumia dawa brah wala sijui kama zipo za kufanya iwe hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unaona sifaaa,,,,fyuuu ipo cku utafia papuchini wewe!!!!
Nikifia hapo sina hasara mana ni mke wangu wa ndoa msiba kwayule atakaefia kwenye kifua cha mwanamke asie kua wake ...
 
Back
Top Bottom