Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

Aliniambia nifanye hivyo huenda ingesaidia mana alihisi labda yeye hatonimudu muda wote, yaani we acha hakuna zuri ukishindwa tatizo ukiwana uwezo tatizo sasa ndio nini hii
 
Mimi sijui sijakuelewa au hiyo style yako ya kuandika ndo inanichanganya!



Walioelewa naomba mnieleweshe maana nimeshindwa hata kumalizia kusoma
Ungekuwa umewahi kufundisha chekechea nadhani ungekuwa wa kwanza kuelewa
 
Aliniambia nifanye hivyo huenda ingesaidia mana alihisi labda yeye hatonimudu muda wote, yaani we acha hakuna zuri ukishindwa tatizo ukiwana uwezo tatizo sasa ndio nini hii
wenzio tunatafuta hela tuishi maisha ya level za juu wewe unaongeza wake kupooza dushe lako. Kweli mawazo ya miafrika ni ngono tu kama alivyosema Trump
 
Uko vzry ndugu
 
wenzio tunatafuta hela tuishi maisha ya level za juu wewe unaongeza wake kupooza dushe lako. Kweli mawazo ya miafrika ni ngono tu kama alivyosema Trump
Wewe ni funzadume kweli chelewa kuelewa uwe na point ; Trump hajui kama umetumia point yake baridi hapa mana kumbuka anafamilia pia hao watoto unadhani aliwapata kwa kujichua ? , Alafu na pesa unazotafuta uishi maisha ya level za juu nikiwanazo gani unataka ili ujue unaishi level za juu chukua kaida hii maisha sio pesa tu ukitaka kuchangia somakwanza comment za wengine ...
 
Turudi kwenye mada: Tafuta hela dogo achana na kuongeza wanawake utaishia kufa masikini. Miaka 30 hujafika una wake wawili je ukifika miaka 50 si utakuwa na timu ya mpira. Maisha yamebadilika kuoa oa kumepitwa na wakati sawa dogo. Unajisifia ujinga ujinga humu badala ya kutafuta pesa wewe unaongeza wanawake wa kukutia umaskini amka dunia hii sio ile ya mababu zetu sasa hivi mke anatakiwa kutunzwa na watoto kusomeshwa sasa wewe jaza wanawake tu ndani kama hujagongewa na bodaboda
 
Kwakifupi tuache hii wewe unapenda saaaana pesa yes tafuta pesa labda niseme tu tunatofautiana kwa kila tuvipendavyo brah ila nimekuelewa ; Nimependa sana maneno yako
 
Mwanamke kwenda mishindo mingi kabla wewe kumaliza mmh hamna kitu kama icho
 
Dk 45 bila kupizi ni tatizo kama ni bao la kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…