Nachelewa kufika kileleni

Nachelewa kufika kileleni

tanzania01

Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Habari wana JamiiForums,

Nikiwa kama kijana, mara nyingi zaidi ninapokuwa na Wifi/Shem wenu huwa hata akifanyaje huwa nachelewa kukojoa (kupiz) bao.

Naomba mwenye ufahamu ya hali hii.
 
We ni mwanachama wa CHAWAPUTA?
 
Kuna sababu nyingi, ambazo mpaka kuzichanganua itabidi tukuulize maswali mengi maana haujaweka mambo yote hadharani. Ila at your age, kama haufanyi mbinu zozote kuhakikisha unachelewa, kisayansi inawezekana una tatizo kwenye nerve cells zako. Ila mtaani inaweza kuwa advantage kwako kama unajua "kuchanga karata" zako vizuri.
 
Hujasema mda gani unatumia ku run hio papuchi ya mwenzio hadi useme unachelewa kufika
 
Back
Top Bottom