Nachelewa kumwaga

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Wakuu hua nikitumia condom kwenye ku sex bao la kwanza linatoka fresh lakini kuanzia la 2 na kuendelea ni kazi naweza nikabadili ata 3 lakini si mwagi hadi demu wangu analalamika nifanyeje wakuu
 
Wakuu hua nikitumia condom kwenye ku sex bao la kwanza linatoka fresh lakini kuanzia la 2 na kuendelea ni kazi naweza nikabadili ata 3 lakini si mwagi hadi demu wangu analalamika nifanyeje wakuu
Mkapime halafu mkikutwa hamna UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa, anza kumgegeda kavu kavu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…